NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

Sijajua kwa nini Kyrie ndo anamkaba KD, wakiswitch game itakuwa level.

Naamini LBJ hatakubali kuongeza turnovers zingine, make mpaka sasa anaongoza.
He can't guard Curry, they throw Tristan and KL on Curry alafu wanampa Kyrie mzigo wa KD.. BTW lots of KD points came from transition and Bron TO's.. I just saw two possession that KD scored on him..
 
I know Mkuu, the good thing the gap of 8 points is not that huge provided that they play well in 2nd half.

Ukiangalia vizuri stats, utaona Cavs wana nafasi kubwa ya kushinda hii game:-
1. LBJ turnovers 7
2. TT 1 rebound and 0 point
3. Assists 10 vs 20 za GSW
4. Kyrie defending KD
5. 43 vs 61

Pamoja na issue zote hizo gap ni 8 pts only, naamini tunawin hii game tukirekebisha issues zote hizi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kweli...ngoja tuone coach Lue and his troop wanakujaje 2nd half...
Another thing to note, Vegas waliwapa hii game Cavs. Warriors wanakuwa vibaya sana wakitoka kwenye long rest.. With 12 TO against 1 na Warriors wanaongoza kwa 8 points tu utaona ni kwanini mlitakiwa kushinda hii game..
 
Back
Top Bottom