Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Mkuu msemo mzuri sana. Niruhusu niuongeze kwenye misemo yangu. Una somo.
Ruksa mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu msemo mzuri sana. Niruhusu niuongeze kwenye misemo yangu. Una somo.
Team Cavs, tushalala moja hapa.
Tunajipanga kuja upya game 2.
Mkuu...
#NBAFinals Predictions:
Game1: Cavs
Game2: Warriors
Game3: Cavs
Game4: Cavs
Game5: Cavs
Finals MVP: Kyrie Irving You heard it here first.....
Jibu moja MURUA sana..!Hapana sijasema hivyo...ili kutwaa ubingwa ni lazima timu ishinde game nne na ziko njia nyingi za kufikisha game nne. Leo tumeshinda moja bado tatu kufikisha nne (QED) CAVs on the other hand hata hiyo moja hawana kwa hiyo tunaweza kusema Zero in the bag...four to go! 🙂🙂🙂!
That is expected, you must follow KD's path.
You are right!and he contributed alot today
what were u sayin son?Hahaa were going to beat GSW back to back
Hahaha ndio maana napendaga kumbusha watu tuwe na "hakiba ya maneno". Maana ukaacha maneno yako yatawaliwe na emotions asee kesho na keshokutwa tunakuuliza "unakumbuka ulisemaje?" "vipi, unaweza kutuelezea nini kimetokea? Coz you seemed so spot on not so long ago!"Mkuu...
Unaonaje ukiedit huu upupu wako hapa, ili watu wasihoji UTIMAMU wako..?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122]Mkuu...
Unaonaje ukiedit huu upupu wako hapa, ili watu wasihoji UTIMAMU wako..?
Time will tell bodywhat were u sayin son?
Kwenye defense Klay is a killer.. Ndio maana hata Green alishangaa Klay kutokuwapo kwenye All NBA team..However is doubting what Klay Thompson did... His defence was spectacular. Cavs shot 1-11 when guarded by Klay. And man he defended against LeBron and Klove in different occasions.
Uko sahihi kaka RRONDO...Kutangulia si kufika....hata 3-1 haina uhakika!
Hapa ni kutafuta jinsi ya kudili na KD tu, wengine watasinzia tu.
Mkuu KD ndo tatizo kubwa, hawa wengine wanapoteaga kirahisi. Klay yuko usingizini na nadhani ameshindwa kucope na ujio wa KD.
Naomba niwaulize swali moja tu watani zangu Raimundo na Nzi...hivi mmewahi kusikia kauli mbiu ya [HASHTAG]#strengthInNumbers[/HASHTAG]? Tofauti kubwa kati ya CAVs na GSW ni kwamba CAVs wanamtegemea sana mtu moja (a one man army) wakati kwa GSW ni teamwork.Mimi nafikiri KD wala siyo wa kuumiza kichwa...aachwe tu, ila hao wengine ndiyo wa kuwabana...anyways, coach Lue knows more, naamini atakuja na a winning game plan...
Naomba niwaulize swali moja tu watani zangu Raimundo na Nzi...hivi mmewahi kusikia kauli mbiu ya [HASHTAG]#strengthInNumbers[/HASHTAG]? Tofauti kubwa kati ya CAVs na GSW ni kwamba CAVs wanamtegemea sana mtu moja (a one man army) wakati kwa GSW ni teamwork.
LeBron akibanwa kama alivyobanwa jana, wenzake hawajui mpira wampe nani na matokeo yale ni T/O! Kyrie akipata mpira atakaa nao weeee akimtafuta LeBron na akimkosa naye atajitahidi kufanya kile akifanyacho LeBorn; to bulldoze his way to the basket!
Sasa wengine tunabaki tukijiuliza, kwani wachezaji wengine wa kuwapasia mpira hawapo uwanjani? Jana GSW walipata assists 31 ikilinganishwa na za CAVs 15, see what I mean? Kwenye lineup ya CAVS wachezaji saba hawakufunga hata goli moja, kwa GSW ni moja tu.
GSW might not be so good katika individual play but they sure know how to click as a team na ndio maana they still managed to beat a full strength Spurs in their home court and in front of their fans without KD who pulverized the much hyped CAVS last night.
Mkitaka kuifunga GSW, change your style and game plan next time you meet, la sivyo itakuwa ni kilio si hapa tu bali hata nyumbani kwenu Quicken Loans Arena...kidole kimoja hakiui chawa! GSW since playoffs is now 13-0 while CAVs is 11-2...are you still with me?
Well, this is what the world saw last night...!
Naye kocha wa CAVS Tyronn Lue anasemaje?
Cleveland Cavaliers head coach Tyronn Lue heaped praise on the Golden State Warriors after they romped to a 113-91 Game 1 win over the defending champions on Thursday night.
Speaking to reporters at Oracle Arena, Lue said the Warriors are the "best I’ve ever seen," according to CBS Sports' Sean Wagner-McGough.
"No other team has done this," Lue added, per Sports Illustrated's Ben Golliver. "13-0. They constantly break records every year."
Sawa Mkuu, naona umeamua kutokubaliana na kocha mwandamizi wa CAVs, Tyronn Lue.Wewe mzee nafikiri unastahili kuanza kuitwa Bashite ama Magufuli unavyopenda kusifiwa. Relax, it is just one game. Nothing special; GSW have always taken game 1 in the trilogy!
Hahaha watani wangu utanini.Sawa Mkuu, naona umeamua kutokubaliana na kocha mwandamizi wa CAVs, Tyronn Lue.
NB: Kunifananisha na Bashite/Magufuli, duh! Naomba uwe muungwana uniombe radhi. Sijali kufananishwa lakini kwa hao wawili, hapana...hapo umeniacha uchi!🙁🙁🙁
Ee bwana, we acha tu...yaani katika watu wote duniani kaamua kunifananisha na Bashite/Magufuli! Kwa kweli akutukanaye hakuchagulii tusi; duh, kanikomesha kweli kweli! Najua atanitaka tu radhi, Nzi ni mtu muungwana sana...Hahaha watani wangu utanini.
Rep. Barbara Lee ✔ @RepBarbaraLee Ha ha ha! Nilijua uwapendi hao viumbe! I did it purposely! Ila niwie radhi sana mzee wa GSW. Najua kufananishwa na hao waungwana ni tusi lisilo na kipimo!NB: Kunifananisha na Bashite/Magufuli, duh! Naomba uwe muungwana uniombe radhi. Sijali kufananishwa lakini kwa hao wawili, hapana...hapo umeniacha uchi!🙁🙁🙁
Hata mimi nilijua hilo, asante sana...vipi leo, KD mtahakikisha hilo goti lake linadondoka au siyo...maanake niliposikia leo hakuna namna, ni ubabe tu na minguvu nikaogopa. Nakumbuka miaka ileee yaliyompata Pele wa Brazil walipokutana na Uingereza fainali ya World Cup...wachezaji wa Uingerezea walikuwa wameambiwa wahakikishe hawakosi yote, ama mpira au mwenye mpira! Duh! ilikuwa patashika uwanjani, madaluga yalipigwa hadi Pele kutolewa uwanjani.Ha ha ha! Nilijua uwapendi hao viumbe! I did it purposely! Ila niwie radhi sana mzee wa GSW. Najua kufananishwa na hao waungwana ni tusi lisilo na kipimo!