Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...Wakuu Gsw wanatupeleka puta balaa,ila tutawapiga tu
Cavs washinde hata game moja wakiwa swept itakua noma kilo kumi
Kuondoa aibu Bora washinde hata game moja kuliko kuwa sweptCavs washinde game moja?
Kuondoa aibu Bora washinde hata game moja kuliko kuwa swept
Kibaya zaidi nimebet kuwa CAVs wataongoza 1st half
There's no way Cavs wanashinda hii series.Yaani unazungumzia kushinda game moja badala ya kuwa mabingwa!
Aisee.
Unapobet jaribu kuweka emotions zako kando mkuu..!Kibaya zaidi nimebet kuwa CAVs wataongoza 1st half
Mkuu...LeBron bado ni mnyama tatizo wenzake wabovu
Tristan mbovu hasa kwenye hizi playoffs mbona ipo wazi. Love speed yake imepungua, Cavs A1 players ni LJ na Irving tu.Mkuu...
Hadi Kyrie Irving ni mbovu..!?
Hata Kevin Love pia..!?
Usitake kubiambia kwamba hadi Tristan Thompson ni mbovu pia..!!!
1st half ndo hyo Gsw 67 - Cavs 61 nimeliwa aiseeUnapobet jaribu kuweka emotions zako kando mkuu..!