Hahaha
Poleni bro
Nakumbuka hata kule kilingeni tumelizungumzia hili, they are not afraid at all. Na hii factor ni kubwa sana ukiachana na tactics sjui nn, hawa jamaa wakicheza kwa kujiamini kama leo they can Knick out this seriesCAVS are in a huge trouble. Pacers believe they can dance with CAVS and embarrass them at their home court so don’t be surprised if they still another game and go back home leading 2-0
Nakumbuka hata kule kilingeni tumelizungumzia hili, they are not afraid at all. Na hii factor ni kubwa sana ukiachana na tactics sjui nn, hawa jamaa wakicheza kwa kujiamini kama leo they can Knick out this series
Au waka ipeleka game 7.
AaahGame 2 wakicheza kama leo na kushinda basi CAVS wako hatarini sana kuondolewa kwenye round ya kwanza.
Aaah
That will be oveeer!
Ila i hope cavs watashinda watupe next two good games tena.
uzuri ni kuwa NBA kama mtu ana ajua anajua tuu, ikiwa Pacers kweli wamewazidi Cavs wata pull out 4 games.Si rahisi kwa NBA kumuona their biggest star exists in the 1st round.
Mkuu sasa Cavs are fighting a losing battle. They ain't going nowhere hata wakipenya sasa kwa Pacers. Hawawezi washinda Raptors wakikutana, Cavs wasahau EC msimu huuGame 2 wakicheza kama leo na kushinda basi CAVS wako hatarini sana kuondolewa kwenye round ya kwanza.
Kuna swali kuwa, LBJ hakuwa anazichukulia maanani triple double mpaka alivyoona Russ akipewa misifa kwa triple doubles name yeye ndiye anaanza kucheza kwa kutafuta hizo stats..Poor offensive game today... Cavs will bounce back...
Mkuu sasa Cavs are fighting a losing battle. They ain't going nowhere hata wakipenya sasa kwa Pacers. Hawawezi washinda Raptors wakikutana, Cavs wasahau EC msimu huu
Cavs is a one man team and this can turn out to be its undoing. In the 4th quarter for instance LBJ scored almost all the goals after bulldozing his way to the basket single-handedly!
Playoffs za mwaka huu ni tofauti sana na zilizopita...watch this space!LBJ hajawahi kuwa tofauti kwenye Playoffs. That is just game 1.
Jamaa mnakuwa wageni kwa LeBron!
Game 1 mmeshafikia hitimisho!
Hii series atapita, Toronto ndo wepesi zaidi.
Shida naiona kwa Sixers.
Msimu huu ni tofauti, Lebron bado anaweka number za kutosha wakati mates wake viwango vimeisha. Cavs haina bench la maana. Hayupo Kyrie to bail him out. Tupo hapa nakwambia Cavs hawashindi EC msimu huu, na mimi ni biggest LJ fan.
Aisee!! Umesahau kumu-acknowledge huyo aliyeanzisha hiyo hoja.Kuna swali kuwa, LBJ hakuwa anazichukulia maanani triple double mpaka alivyoona Russ akipewa misifa kwa triple doubles name yeye ndiye anaanza kucheza kwa kutafuta hizo stats..
Unalisemeaje hili?
Kuna swali kuwa, LBJ hakuwa anazichukulia maanani triple double mpaka alivyoona Russ akipewa misifa kwa triple doubles name yeye ndiye anaanza kucheza kwa kutafuta hizo stats..
Unalisemeaje hili?
Kwa hiyo bila hizo stats hapati deal nzuri? Just come out of the closet..LBJ anajua fika msimu huu Cavs haiendi popote so anachofanya ni kujaza stats tu ili mwisho wa msimu apate deal nzuri atakohamia maana ni wazi atasepa Cavs.
Kwa hiyo bila hizo stats hapati deal nzuri? Just come out of the closet..