NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Siamini ninachokiona. I hope Blazers will pull up their socks in order to protect home court advantage but it doesn’t look good at all.

Ni hatari nakuambieni. Nautazama mchezo wa Pelicans na Blazers, duh. Nakwambia Lillard kafungwa luku huku McCollum kapigwa breki na mchezo umebaki kwa mapande ya watu tu. NOP ghafla imekuwa tishio!
 
Hongereni mlioshinda leo!Poleni mliotungwa!!!
Niombeeni namie leo nianze kwa kumfunga Utah in game 1
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Boston na Milwaukee wanakipiga sasa hivi
 
Si iangalii hiyo ila Celtics pamoja na ubovu wao si wa kutolewa na bucks
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom