Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Si ipendi Barca
But GSW sna shda nao
Na leo naona wanacheza kama Warriors nnao wafahamu
Hawa nawasubiri kwa madevu, hii series wanapita kwa 4 - 0.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ipendi Barca
But GSW sna shda nao
Na leo naona wanacheza kama Warriors nnao wafahamu
Mambo ya michezo ni sawa na wano mchukia MessiLebron mtu poa sana sijui hata sababu za kumchukia watu wanazitoa wapi.
Lebron mtu poa sana sijui hata sababu za kumchukia watu wanazitoa wapi.
Si ipendi Barca
But GSW sna shda nao
Na leo naona wanacheza kama Warriors nnao wafahamu
HahahaHawa nawasubiri kwa madevu, hii series wanapita kwa 4 - 0.
Swaga zake labda.
Kama Ronaldo hivi.
Wataenda WCFWako vizuri lakini mwaka huu ni ngumu sana kuchukua tena.
Na mashabiki wake wana fujoSwaga zake labda.
Kama Ronaldo hivi.
Wataenda WCF
Kama chef Curry akiwa yuko poa
They can pull it off.
HahahaAnything under the sun is possible Mkuu. Let’s wait and see.
Hahaha
Japo inaonekana huu ni mwaka wa Rockets zaidi
Ha ha....bila the Claw, Spurs ni kibonde mbele ya ilo juggernaut
Hata second round sioni kama ana path ngumu ya kina Rockets.Hao ni mteremko subiri 2nd round itakuwa patashika nguo kuchanika ukifanya mchezo tu Summer unaianza mapemaaaa
Hahahaha 2nd round chef anarudi.. na kwa hii form tulio anza nayo tunamtaka huyo RocketsHao ni mteremko subiri 2nd round itakuwa patashika nguo kuchanika ukifanya mchezo tu Summer unaianza mapemaaaa
Tuambieni ambaye sio kibonde ili tukikutana nae tujitayarishe hahahaHa ha....bila the Claw, Spurs ni kibonde mbele ya ilo juggernaut