NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Hawana talents na superpower kama ya GSW. Kukosekana kwa Kahwi ni pigo kubwa
Kawahi naye arudi
Maana Aldridge hakuna anacho fanya cha maana.
Series itaisha mapeemaa hii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Introduction za team zote za NBA 9, 10 ilikuwa ni hii ya Da Bulls hadi ilikuwa inasisimua mwili.

Aaah
Hawa jamaa intro yao tuu washakufunga

Pippen, Rodman na Jordan

Hawa jamaa haiji tokea this was a team!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ilikuwa na ushindani mkali naona mpaka Drake akawa na wasiwasi na timu yake hadi akasimama kwa kipindi kirefu kujaribu kuwamotivate wacheza wa Raptors.

At least hii unaeza ukaaiita game ya play off
 
Ilikuwa na ushindani mkali naona mpaka Drake akawa na wasiwasi na timu yake hadi akasimama kwa kipindi kirefu kujaribu kuwamotivate wacheza wa Raptors.
Yeah jamaa walikuwa kabsa kuna time waa onesha hofu.
Na hiko ndio kinacho mfanyaga LeBron awafunge, akisha jua unamuogopa tuu lazma akunyonge, vijana wanatakiwa wajiamini wana timu nzuri tuu. Especialky wale.jamaa walo kuwa wanatokea bench wako poa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Bench ya Raptors nadhani ndiyo bora kuliko timu nyingine yoyote ile na kama wataonyesha ubora wao basi wanaweza kabisa kutinga kwenye NBA Finals kwa mara ya kwanza.

Yeah jamaa walikuwa kabsa kuna time waa onesha hofu.
Na hiko ndio kinacho mfanyaga LeBron awafunge, akisha jua unamuogopa tuu lazma akunyonge, vijana wanatakiwa wajiamini wana timu nzuri tuu. Especialky wale.jamaa walo kuwa wanatokea bench wako poa.
 
Mimi bado nachungulia tu kwa mbaaali na kuzisoma comment zenu. Ninachoweza kusema kwa wakati huu ni kwamba kwanza, tusidanganyike sana na matokeo ya regular season, playoffs ni habari nyingine kabisa! Pili, mchezo umebadilika na si kama zamani...safari hii ole wao wanaomtegemea mtu moja kupata ushindi. Kaba kaba ya msimu huu ni kiboko. Tatu, watunguaji wa masafa marefu, tatu tatu (asante Steph Curry kwa kubadilisha kabisa taswira ya mchezo!) ni katika silaha ya kisasa ya maangamizi ambayo kila timu itahitaji na lazima idadi yao iwe kuanzia wawili au zaidi...au mnasemaje?
 
Nakubaliana na yote uliyoyaandika Mkuu. Masafa marefu ni muhimu sana katika kujihakikishia ushindi. Naangalia hapa Philadelphia na Miami hawa Phila wanazitungua tatu tatu kama wanatungua maembe na imewasaidia sana kuweka gap kubwa katika mchezo huu.

Mimi bado nachungulia tu kwa mbaaali na kuzisoma comment zenu. Ninachoweza kusema kwa wakati huu ni kwamba kwanza, tusidanganyike sana na matokeo ya regular season, playoffs ni habari nyingine kabisa! Pili, mchezo umebadilika na si kama zamani...safari hii ole wao wanaomtegemea mtu moja kupata ushindi. Kaba kaba ya msimu huu ni kiboko. Tatu, watunguaji wa masafu marefu, tatu tatu (asante Steph Curry kwa kubadilisha kabisa taswira ya mchezo!) ni katika silaha ya kisasa ya maangamizi ambayo kila timu itahitaji na lazima idadi yao iwe kuanzia wawili au zaidi...au mnasemaje?
 
Tatu, watunguaji wa masafu marefu, tatu tatu (asante Steph Curry kwa kubadilisha kabisa taswira ya mchezo!) ni katika silaha ya kisasa ya maangamizi ambayo kila timu itahitaji na lazima idadi yao iwe kuanzia wawili au zaidi...au mnasemaje?

Kusema ukweli Steph kabadili mwenendo wa mchezo wa mpira wa kikapu. Timu nyingi sana sasa hivi zinategemea uwezo huo [wa kutungua tatu tatu toka masafa].

Si Cleveland...si Houston...si Toronto...kote kote sasa hivi wanajaribu kutungua tatu tatu.
 
Ni hatari nakuambieni. Nautazama mchezo wa Pelicans na Blazers, duh. Nakwambia Lillard kafungwa luku huku McCollum kapigwa breki na mchezo umebaki kwa mapande ya watu tu. NOP ghafla imekuwa tishio!
 
Back
Top Bottom