Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Hawana talents na superpower kama ya GSW. Kukosekana kwa Kahwi ni pigo kubwa113-92
Warriors 1-0 Spurs
Spurs ki ufupi ni wabovuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana talents na superpower kama ya GSW. Kukosekana kwa Kahwi ni pigo kubwa113-92
Warriors 1-0 Spurs
Spurs ki ufupi ni wabovuu
You are being cocky, eh!!?? Sawa, wacha tuangalie...Tuambieni ambaye sio kibonde ili tukikutana nae tujitayarishe hahaha
Kawahi naye arudiHawana talents na superpower kama ya GSW. Kukosekana kwa Kahwi ni pigo kubwa
AaahIntroduction za team zote za NBA 9, 10 ilikuwa ni hii ya Da Bulls hadi ilikuwa inasisimua mwili.
Hawa Baby Dinosaur wanaweza ku-choke hii series!!
Jamaa hawashindagi game 1 iwe kwao au awayNaona wameshaanza kupanick Mkuu. 3rd quarter is very crucial for them to take control of this game.
Jamaa hawashindagi game 1 iwe kwao au away
[emoji23]
At least hii unaeza ukaaiita game ya play off
Yeah jamaa walikuwa kabsa kuna time waa onesha hofu.Ilikuwa na ushindani mkali naona mpaka Drake akawa na wasiwasi na timu yake hadi akasimama kwa kipindi kirefu kujaribu kuwamotivate wacheza wa Raptors.
Yeah jamaa walikuwa kabsa kuna time waa onesha hofu.
Na hiko ndio kinacho mfanyaga LeBron awafunge, akisha jua unamuogopa tuu lazma akunyonge, vijana wanatakiwa wajiamini wana timu nzuri tuu. Especialky wale.jamaa walo kuwa wanatokea bench wako poa.
Mimi bado nachungulia tu kwa mbaaali na kuzisoma comment zenu. Ninachoweza kusema kwa wakati huu ni kwamba kwanza, tusidanganyike sana na matokeo ya regular season, playoffs ni habari nyingine kabisa! Pili, mchezo umebadilika na si kama zamani...safari hii ole wao wanaomtegemea mtu moja kupata ushindi. Kaba kaba ya msimu huu ni kiboko. Tatu, watunguaji wa masafu marefu, tatu tatu (asante Steph Curry kwa kubadilisha kabisa taswira ya mchezo!) ni katika silaha ya kisasa ya maangamizi ambayo kila timu itahitaji na lazima idadi yao iwe kuanzia wawili au zaidi...au mnasemaje?
Tatu, watunguaji wa masafu marefu, tatu tatu (asante Steph Curry kwa kubadilisha kabisa taswira ya mchezo!) ni katika silaha ya kisasa ya maangamizi ambayo kila timu itahitaji na lazima idadi yao iwe kuanzia wawili au zaidi...au mnasemaje?