NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
CAVS in trouble in game 3. 40 seconds to go Indiana 91 Cleveland 87
 
Cavs ni bora wakatoka sasa kuliko wapite wakutane na timu Kama raptors watakua swept.
 
Narudia, hii Cavs hamna kitu nadhani unajionea mwenyewe.

Hata ikitokea bahati mbaya wakapita kwa pacers hawawezi shinda EC.

Sasa Pacers is leading, Cavs finna blow this.

Indiana wins the game by 92 to 90.

Cavs upepo umekata second half.
 
Indiana wins the game by 92 to 90.

Cavs upepo umekata second half.
Bado una imani na hii Cavs? Naposema hamna timu hapa nielewe mkuu, Cavs haina bench na players wengine viwango vimeshuka vibaya mno

Bora watoke sasa kuliko wakaze wapite wawe swept na raptors.

The only good thing about losing in the first round Ni kwamba itampa LBJ hasira za kuondoka kwenda kwenye timu zinazojielewa.
 
Bado una imani na hii Cavs? Naposema hamna timu hapa nielewe mkuu, Cavs haina bench na players wengine viwango vimeshuka vibaya mno

Bora watoke sasa kuliko wakaze wapite wawe swept na raptors.

The only good thing this about losing in the first round Ni kwamba itampa LBJ hasira za kuondoka kwenda kwenye timu zinazojielewa.

LeBron umri umeenda, quarter za mwisho ana struggle sana.

Na kama hivi supporters ni totally mediocres nawaona kabisa Cavs wanaondoka mapema.
 
Need I say more? I foresaw this happening. Waone sasa hata hao RAPTORS, they are getting a taste of their own medicine!
 
LeBron umri umeenda, quarter za mwisho ana struggle sana.

Na kama hivi supporters ni totally mediocres nawaona kabisa Cavs wanaondoka mapema.
Naona somo limekuingia umeanza kukubali. Tatizo sio James, tatizo ni teammates wake, LBJ kama LBJkiwango bado kipo, umri is yet to catch up with him, ni LBJ huyu huyu last game alicheza 40 mins na kutupia 40points.

Bball is a team sport. LBJ can't win it all by himself everytime, anahitaji msaada ambao kwa sasa Cavs haupo na kocha wao Lue bado mchanga hajui. LBJ akienda timu kama Philly au Spurs anayoweza pata msaada believe me you wanabeba championship.
 
There're more surprises on the way guys, just stay tuned. Kuna wengine hawavumi lakini wapo na ingawa nina imani kubwa na timu yangu Warriors lakini si kama mwaka jana au mwaka juzi wakati wa splash brothers! Yule sniper aliyeleta balaa lote hili la masafa marefu bado anauguza majeraha na mpaka nitakapomuona uwanjani kwenye playoffs bado nina wasi wasi kidogo kwani copy cats nao wamepania kweli kweli!
 
Naona somo limekuingia umeanza kukubali. Tatizo sio James, tatizo ni teammates wake, LBJ kama LBJkiwango bado kipo, umri is yet to catch up with him, ni LBJ huyu huyu last game alicheza 40 mins na kutupia 40points.

Bball is a team sport. LBJ can't win it all by himself everytime, anahitaji msaada ambao kwa sasa Cavs haupo na kocha wao Lue bado mchanga hajui. LBJ akienda timu kama Philly au Spurs anayoweza pata msaada believe me you wanabeba championship.

Mkuu I concede.
 
End of 3rd quarter and Celtics are behind by 18 points! Bucks nao wanakataa , wanasema hapana!

Antetokounmpo anasema hatukubali, si nyumbani kwetu. Je watafanikiwa?
 
Indiana Pacers...92
Cleveland Cavs...90

Washington Wizards...122
Toronto Raptors.........103

Milwaukee Bucks...116
Boston Celtics.........92

Hali ndiyo hiyo, playoffs za mwaka huu hazina mfano huko nyuma. Kaazi kweli kweli!
 
Cleveland ni tofauti sababu yeye aliongoza ila akafungwa.

Timu kama wizards na bucks zimeingoza na kushinda game ila Cavs upepo ulikata, 4th qtr pacers tied the game na kushinda.
 
Cleveland ni tofauti sababu yeye aliongoza ila akafungwa.

Timu kama wizards na bucks zimeingoza na kushinda game ila Cavs upepo ulikata, 4th qtr pacers tied the game na kushinda.
Na hiyo imeuma zaidi kwani mashabiki wa CAVS walishaanza kusherehekea ushindi ugenini. Ukweli ni kwamba mwanzoni Pacers walionekana kucheza kwa wasi wasi mno na iliwachukua muda mrefu kutulia. Kama CAVs watapoteza mchezo unaofuata wasahau kabisa kuvuka huu mzunguko wa kwanza kwani hata LeBron mwenyewe ameonekana kukata tamaa. Nakiri mimi kuwa mshabiki kama walivyo wengine ingawa mimi naangalia zaidi style na trend.

Nzi
 
Na bora wasivuke sasa sababu huko mbele timu Kama Philly au raptors zitawavua nguo, wanaweza kuwa swept.
 
Duh, mchezo wa leo kati ya Miami Heat na 7sixers ya Philadelphia ni mkali na physical kweli kweli. Heat wakiongozwa na mkongwe Dwane Wade wanasema hatukubali kufungwa tena nyumbani na kweli wamegoma hawataki. Quarter ya tatu inaenda kufikia mwisho na hivi sasa wanaongoza kwa pointi 83-79. Zaidi ya mara mbili purukushni zimeshuhudiwa uwanjani.
 
Dakika zinayoyoma na zikiwa zimebakia sekunde 50 7sixers wanaongoza kwa tatu 102-99!
 
Hali ni hatari kwa Heat...wako nyuma 101-104 na sekunde zimebaki 30 tu!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nilijua hawa Sixers ni wazuri lakini sikutegemea kabisa washinde michezo miwili Miami. Heat will go home in 5.
 
7sixers wameshinda 106-101 na sasa wako 3-1. Sasa tunahamia kwa Pelicans na Portland Trail Blazers! Je ndio mbio za Blazers zimefikia ukingoni?
 
Back
Top Bottom