NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Muda huu Blazers na snitch Dame ni win au go home!Naiombea ipigwe sweep tu Portland
 
Kama playoffs zote zitakuwa so physical, safari hii kuna kazi. Kwa leo technical zimeshafika nne na flagrant ni mbili na mambo ndio baaado kabisa. Sasa ni haltime na Pelicans wanaongoza kwa 58-56. Je Blazers watachomoa? Hilo ndilo swali linaloumiza kichwa kwani leo wakilala ndio tena wasubiri 2018/2019!

Muda huu Blazers na snitch Dame ni win au go home!Naiombea ipigwe sweep tu Portland
Mimi kama shabiki wa Warriors ningefurahi kama Portland hatolewi leo tupate muda mrefu wa kupumzika iwapo kesho tunam-sweep San Antonio.
 
Dua Mag3 haliwapati Pelicans. The next series won’t start At least until Thursday.

Nilijua hawa Sixers ni wazuri lakini sikutegemea kabisa washinde michezo miwili Miami. Heat will go home in 5.

Sixers wapo vizuri, hawatoshinda championship this season ila wanapotential. Mimi naombea Cavs watolewe hii first round, LBJ asepe zake aende Philly, akienda huko championship ni uhakika.
 
Kuna rumours pia anaweza kwenda Lakers yeye na Paul George wa OKC. Niliwahi kusikia kule Los Angeles kishaweka vitega uchumi vyake.

Kanunua nyumba tayari na sababu LA is made for stars basi patamfaaa hasa ukizingatia anaenda kumalizia career yake na kuingia kwenye nyanja zingine. Tatizo akienda LA kushinda championship nyingine bado itakua a case of probability sio uhakika wakati Sixers tayairi imeiva, akiongeza nguvu yake pale ring ni uhakika.

I guess it will go to his own preference, to win another championship au kuanza kupanga maisha baada ya Bball.
 
Reactions: BAK
Ikiwa bado dakika tano na nusu Timberwolves wanaongoza kwa 108-90 dhidi ya Rockets! Je Minnesota nao watakataa kukubali nyumbani kwao?
 
Reactions: BAK
Ikiwa bado dakika tano na nusu Timberwolves wanaongoza kwa 108-90 dhidi ya Rockets! Je Minnesota nao watakataa kukubali nyumbani kwao?
Bado dakika mbili Timberwolves wako mbele kwa pointi kumi na sita 118-102! Ni hatari sana.

Naam baada ya miaka 14 Minnesota Timberwolves nayo yaonesha kwamba it has what it takes baada ya kuifunga Houston Rockets 121-105!
 
3rd Quarter inaisha na Jazz wako mbele kwa 89-75! Wakiweza kuibuka washindi leo basi watakuwa wamejiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.
 
Reactions: BAK
OKC watakalishwa chini na Jazz na hawa Milwaukee wanafanya juhudi ya kutie hii series 2-2
Milwaukee nao kama ilivyo safari hii wamefanya vyao nyumbani kwao na sasa ni 2-2! Hebu tusubiri tuwaone Warriors nao kama wataweza kuwafungasha virago Spurs nyumbani kwao!
 
Washington nao wakataa kwa Toronto...Wizards yaizamisha Raptors 106-98 na sasa wako sawa 2-2, duh! Ngoja sasa tushuhudie Cleveland na Indiana wanavyochuana...je LeBron atachomoa au ndio CAVs nao mbio zao zinaelekea ukingoni?
 
LeBron hawezi kuondolewa first round na hawa watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…