NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Utah waachane na kutaka kupiga 3pts kila mara leo naina kama wanageza game ya Rockets..wamebadilika kidogo nw wamepunguza gap la points la sivyo watachakazwa vibaya.
 
TristaniThompson jamaa leo amecheza vizuri,mara nyingi huwaga namuonaga mzigo.
 
Toka league imeanza mpaka hapa ilipofika, Boston Celtics have played the theme Next Man Up at the level that exceeds expectations.

Nadhani hata wao wanajishangaa wanayokutana nayo, kwa kesi hii Nina kila sababu ya kuamini kwamba wangempa Lebanon changamoto sana kama siyo injuries za Kyrie na Hayward.
 
Kulingana na Charles Barkley, timu zitakazochuana katika fainali ni Cleveland Cavaliers na Houston Rockets! Kadai Toronto Raptors hawana pumzi na kesho wanalala kwa Cavs! Haipi nafasi hata kidogo Golden State Warriors! Je kama kawaida yake safari hii pia kachemsha?
 
Wanasema Adui muombee njaa,nilitamani saana Pacers waitoe Cavs 1st round,na sina uhakika kama Raptors watafika na Cavs game 7!
wana Bench zuri Raptors lakini sijui kama LBJ ata stand down
 
Wala Ajachemsha Rockets wapo vizuri sana bwana Madevu yuko hot GSW naona wanapumlia mashine ila this sessions Victor Oladipo kwangu ni the best kwa PlayOff hii

This season Rockets noma saaana!Ila conference final ndio tutajua wana moto kiasi gani!Sie wenginewe beta lucky next season,Carmello ataanzia benchi kidogo kuiboost rooster
 
Ila Lebron na namuona kama kidogo ana uchovu,alafu wenzake kama wanamtegea nina wasiwasi hata gemu ya leo zidi ya Raptor anaweza asiwe ktk form yake ya siku zake.
 
Jana nimelala nimeshindwa kuwacheki celtics wakiendeleza kipigo...Raptors siwaoni wakipita kwa Cavs ingawa hawapo vzr nilichogundua LBJ anacheza kwa experience ya hizi game za playoff. Usikubali kwenda na cavs game 7 watakuua tu
 
This season Rockets noma saaana!Ila conference final ndio tutajua wana moto kiasi gani!Sie wenginewe beta lucky next season,Carmello ataanzia benchi kidogo kuiboost rooster
Kasema bench is not place for him to be... So soon anaeza sepaaa
 
Jana nimelala nimeshindwa kuwacheki celtics wakiendeleza kipigo...Raptors siwaoni wakipita kwa Cavs ingawa hawapo vzr nilichogundua LBJ anacheza kwa experience ya hizi game za playoff. Usikubali kwenda na cavs game 7 watakuua tu
Game ya mwisho wamecheza kama team naona wanaanza amka..... Lebron hawezi zengea asee anahitaji ring
 
Back
Top Bottom