NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Hao Houston ni wepesi sana kwa GSW.. Hapo wakijitahidi sana watatoka ndani ya Game 6

Currently NBA hakuna timu inaweza kufika 7 kwa GSW.

Angalau Houston ameonesha kupambana nao Regular Season, so it gives us hope kwamba hata kwenye Playoffs anaweza ku-compete.
 
Leo naona cavs wanaweza kushinda tena
Basketball ni mchezo wa matchups. Kuna watu humu walitoa hukumu ya Cavs kwa kuangalia series yao dhidi ya Pacers. Pacers walikuwa ni nightmare matchup kwa Cavs.

Ni kama vile OKC wangekutana na GSW kwenye round ya kwanza. Series hiyo ingeenda 7 games.
Sixers wanaweza kuwa nightmare matchup dhidi ya Cavs kama Joel aki-stay healthy. Bostons ni wepesi mno kwa Cavs.

Tatizo kubwa litakuwa kama GSW wakitoka West. West wakitoka Rockets, hiyo haitokuwa matchup ngumu kwa Cavs.
 
Sasa narrative itabadilika ni kuwa the East is weak!!
Yaani people don't learn, uh?!? Bron makes the East weak!
KD mwenyewe hakutaka kuja East, alijua hawezi kwenda conference final Bron aliwepo East. And he chose the easiest way out, joining a 73-9 team, which was 3-1 behind in favor of KD's OKC.

[HASHTAG]#StriveforGreatness[/HASHTAG]
 
Basketball ni mchezo wa matchups. Kuna watu humu walitoa hukumu ya Cavs kwa kuangalia series yao dhidi ya Pacers. Pacers walikuwa ni nightmare matchup kwa Cavs.

Ni kama vile OKC wangekutana na GSW kwenye round ya kwanza. Series hiyo ingeenda 7 games.
Sixers wanaweza kuwa nightmare matchup dhidi ya Cavs kama Joel aki-stay healthy. Bostons ni wepesi mno kwa Cavs.

Tatizo kubwa litakuwa kama GSW wakitoka West. West wakitoka Rockets, hiyo haitokuwa matchup ngumu kwa Cavs.

I told Bufa hii kitu, nasubiri maoni yake leo.

Screenshot_20180504-043847.jpg
 
Bye bye Raptors see you next season. You were so good during regular season but we’re now in Playoffs a total different animal. You need at least 3 more good players with experience in order to compete with King Lebron & the CAVS. From Eastern Conference CAVS will go through from Western Conference Jazz can shock the Basketball World one more time, HOPEFULLY
 
Kwa kweli Raptors hawana chao tena, kama kawaida wamekuwa ni wasindikizaji wa kudumu na nasikia safari hii hata hiyo franchise itakumbwa na timua timua na yawezekana ikawa lazima kusukwa upya. Celtics nao nina wasi wasi nao, kwa Cavs wanakubali haraka mno...afadhali ya Sixers wangeweza kujitutumua.
 
Thanks, you are back to your senses.
 
Lebron kwa east hana mpinzani... warriors wanamsumbua sababu kd alienda join super team
 
Back
Top Bottom