Lubalunda the old man
Member
- Dec 28, 2017
- 6
- 6
utah is a bad bad team!!Wamechomos tena nyumbani kwa Rockets!Naomba yajirudie ya kwetu OKC!!Even series to Game 6 tu Rockets atolewe
Mkuu sasa Cavs are fighting a losing battle. They ain't going nowhere hata wakipenya sasa kwa Pacers. Hawawezi washinda Raptors wakikutana, Cavs wasahau EC msimu huu
Hahaha sawa mkuuMkuu nakusalimia kwemaa , huku CAVS anaongoza series 2-0 dhidi ya Raptors [emoji23]
Hahaha sawa mkuuMkuu bado una huu msimamo?
Hey what are you talking about dude...please grow up son.
Mkuu sasa Cavs are fighting a losing battle. They ain't going nowhere hata wakipenya sasa kwa Pacers. Hawawezi washinda Raptors wakikutana, Cavs wasahau EC msimu huu
Kila mtu anawaponda Raptors now, wametanfuliwa 2 - 0 na timu mbovu yenye LeBron tu.
Wanaona ni muda wa trades.
And he has one of the most highest basketball IQ... a high school kid from akron ambaye hata college hapajui
Hichi kipigo wanachopata GSW kutoka kwa Pelicans ni cha mbwa mwizi, wanaadhirika.
Usishangae wakishinda
Wanaweza kabisa Mkuu ila inabidi wangangamare washinnde na game four kisha kusteal game 5 kule Golden State.
Hakika hiki kilikuwa kipigo cha mbwa mwizi...Pelicans hawana utani nyumbani kwao.Hichi kipigo wanachopata GSW kutoka kwa Pelicans ni cha mbwa mwizi, wanaadhirika.
Hii ya Rockets inaweza ikavunja rekodi ya playoffs...hadi sasa 3rd Quarter wako mbele 82-47, duh!Rockets nao wana wa-annihilate Utah!!
Utah ilikuwa ile ya kina Karl Malone bwana