NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Circumstances change, Lakers, Boston Cs, Bulls ya MJ, Bad Boys Detroit Pistons, etc hizi zote zitakuja na claim ya namna hii.

Ila am telling this is the new erra,with the new talents!
Zamani jitu linakuwa kubwa ndio unaona maajabu yake!lakini sasa hivi maajabu ni eye brow tu ndio mpango mzima!
 
Reactions: BAK
Nikiangalia toka Curry amerudi naona kama it just hurts tge Warriors rather than helping them.
Juzi mwishoni mwa game mambo yalianza kwenda ndivyo sivyo na leo naona biashara haija lipa
 
Rondo alipewa kazi moja tu, kum-bait D. Green wa GSW wakijua anavyochemka haraka na hivyo kukosa umakini na kwa kiwango fulani alifanikiwa.

Kafanya kazi ya Lebron Game 4 2015 Finals.

Jamaa ni mwepesi sana kumtoa mchezoni, na Rondo anaiweza hiyo kazi.
 
Rondo alipewa kazi moja tu, kum-bait D. Green wa GSW wakijua anavyochemka haraka na hivyo kukosa umakini na kwa kiwango fulani alifanikiwa.
Rondo alicheza ki old skul
May be ndio dawa ya kuwafunga GSW
 
Uliona ile game 1 walivo cheza kwa system yaan ile game walipiga.

Sema steph akisha adopt vzuri hakuna wa kuifunga warriors
Subiri tuone usiku huu game itakuwaje ila nina uhakika wanakuja na hasira leo KD ataua mtu
 
Subiri tuone usiku huu game itakuwaje ila nina uhakika wanakuja na hasira leo KD ataua mtu
Kesho hiyo
Nadhan jana ilikuwa fluke tu. Sema mi napenda series ndefu.
Sio kama Raptors wanavo muogopa Lebron
 
Uliona ile game 1 walivo cheza kwa system yaan ile game walipiga.

Sema steph akisha adopt vzuri hakuna wa kuifunga warriors

Mara nyingi mchezaji anapokuwa nje kwa kipindi kirefu timu ina adjust system mpya, anapokuja anaanza upya.

Ila in 2 to 3 games atakaa kwenye system.
 
Yaan Ben Simmons akiwa hayupo ndio76ers wanaonekana kucheza fresh
 
Game tight hii jaman maana 76rerz wanarusha 3 balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…