[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwa sie wa gsw hatuna chetu kwa leo,imagine KD anakosa free throws 2 mfululizo,klay ana foul 3 ndani ya dakika 4 za q1 na curry hajulikani alipo!
Haya naona mnachungulia Finals tayari hapa[HASHTAG]#GoHoustonRocket[/HASHTAG]
Yep nmeona mkuu,, wait tusubiri 3rd na 4th Qtr,, GSW wanaweza kucomeback tofautiHaya naona mnachungulia Finals tayari hapa
Houston wamejitahidi sana kufika game 7..Mzeeiya...naona umejificha...toka mafichoni
Nilisema huko nyuma, don't ever count warriors off, mpaka filimbi ya mwisho..kwa sie wa gsw hatuna chetu kwa leo,imagine KD anakosa free throws 2 mfululizo,klay ana foul 3 ndani ya dakika 4 za q1 na curry hajulikani alipo!
Nilisema huko nyuma, don't ever count warriors off, mpaka filimbi ya mwisho..
Nilijifunza hii kwenye western finals za mwaka juzi..
Pole broYep nmeona mkuu,, wait tusubiri 3rd na 4th Qtr,, GSW wanaweza kucomeback tofauti
Thanks bro,Pole bro
See you next yr