Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Draymond played in both games 6 and 7. So what happened?Easy, easy brother! When Warriors were on the warpath, the trophy just a millimeter away, you know the sabotage that took place so that the king doesn't shed tears two years running!!
I think he wont play
Baada ya kumvuta KD aje kuokoa jahaziHiyo ilikuwa ajali kazini na mwaka uliofuatia wakahakikisha wanawakata King James and Co kilimilimi chao na ndio maana they are the reigning/defending Champions!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hodi hodi, je mpo? Mbona kimya? [B]Nzi[/B], leo uwanja wako huu au unaogopa hata kuchungulia?
Boston Celtics ndio hivyo tena, naona pumzi imewaishia na kwa mambo yanavyokwenda, fainali huenda wakaisikia tu ndotoni!Hali haoneshi kuwa nzuri kwa Boston
They had to be ahead
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mazungumzo yatakuja baada ya game watu wana tention
A good Q by the way
HahahaBoston Celtics ndio hivyo tena, naona pumzi imewaishia na kwa mambo yanavyokwenda, fainali huenda wakaisikia tu ndotoni!
HahahaMazungumzo yanakaribia