Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GSW always get lucky....CP injury is a deciding factor
Ha ha haaa...! Leo ilikuwa ni battle ya maSnipers. Bahati mbaya ni kwamba watu walisahau historia, historia ya splash brothers, the original snipers. At the end Warriors got 16 out of 38 (42.2%) huku Rockets wakiambulia 15 out of 39 (38.5%). And now Houston here we come!Naona umetoka mafichoni....allowing a game 7 is very bad for Rockets
Are you serious? Unafananisha kukosekana kwa CP na Iggy? CP ni 2nd best player for Rockets. Iggy is like 5th in a team with 4 allstars.I reserve my comment about Iggyz
Kama CP hatocheza kweli game 7, basi GSW wana chance kubwa ya kushinda.Ha ha haaa...! Leo ilikuwa ni battle ya maSnipers. Bahati mbaya ni kwamba watu walisahau historia, historia ya splash brothers, the original snipers. At the end Warriors got 16 out of 38 (42.2%) huku Rockets wakiambulia 15 out of 39 (38.5%). And now Houston here we come!
Memories, memories, memories! Umesahau game 2...pamoja na CP kuwa ndani Warriors walishinda kwa pointi 41! Warriors waki-explode hakuna cha CP wala nani!Kama CP hatocheza kweli game 7, basi GSW wana chance kubwa ya kushinda.
Sawa. Ngoja tuone itakavyokuwa.Memories, memories, memories! Umesahau game 2...pamoja na CP kuwa ndani Warriors walishinda kwa pointi 41! Warriors waki-explode hakuna cha CP wala nani!
Kumbuka game ya 7 itakuwa siku ya Memorial Day na kumbu kumbu ni kwamba mwaka 2016 Warriors waliitoa OKC Thunder siku kama hiyo baada ya kuwa nyuma 1-3 kwenye fainali ya Western Conference! Wakati huo KD alikuwa OKC na huo ndio wakati splash brothers walikuwa wanafanya vyao bila upinzani!Sawa. Ngoja tuone itakavyokuwa.
...hadi walipokutana na King James and Co.na huo ndio wakati splash brothers walikuwa wanafanya vyao bila upinzani!
Naona umetoka mafichoni....allowing a game 7 is very bad for Rockets
I reserve my comment about Iggyz
...hadi walipokutana na King James and Co.
Hiyo ilikuwa ajali kazini na mwaka uliofuatia wakahakikisha wanawakata King James and Co kilimilimi chao na ndio maana they are the reigning/defending Champions!...hadi walipokutana na King James and Co.
Memories, memories, memories! Umesahau game 2...pamoja na CP kuwa ndani Warriors walishinda kwa pointi 41! Warriors waki-explode hakuna cha CP wala nani!
Hiyo ilikuwa ajali kazini na mwaka uliofuatia wakahakikisha wanawakata King James and Co kilimilimi chao na ndio maana they are the reigning/defending Champions!
Wengine ni maveteran humu ndani, tumetoka mbali.Hataweza kukuquote hii post.
You are right...typo!It was game 3.
Kwa Draymond kulialia after the loss, made a call to KD, and GSW added KD just to be Bron.Hiyo ilikuwa ajali kazini na mwaka uliofuatia wakahakikisha wanawakata King James and Co kilimilimi chao na ndio maana they are the reigning/defending Champions!
Kwa Draymond kulialia after the loss, made a call to KD, and GSW added KD just to be Bron.
Sala zangu zote zipo kwa Rockets. Wakiwatoa GSW, tutaona who Draymond is going to call!! And what KD's "Next chapter" is going to be!!
Easy, easy brother! When Warriors were on the warpath, the trophy just a millimeter away, you know the sabotage that took place so that the king doesn't shed tears two years running!Kwa Draymond kulialia after the loss, made a call to KD, and GSW added KD just to be Bron.
I happen to know why so I wont ask. You'd rather travel to Houston than Oracle...well that'd be good for you but let me disappoint you, that ain't happening and you can take that to the bank!Sala zangu zote zipo kwa Rockets. Wakiwatoa GSW, tutaona who Draymond is going to call!! And what KD's "Next chapter" is going to be!!