Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
As if basketball is only about chucking 3-pointers!!Naona ni records za 3 pointers pekee
Kwenye category nyingine vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As if basketball is only about chucking 3-pointers!!Naona ni records za 3 pointers pekee
Kwenye category nyingine vipi?
Vaa miwani au na wewe pia ni mmoja kati ya wale waliojiunga JF bila hodi🙁!Naona ni records za 3 pointers pekee
Kwenye category nyingine vipi?
Vaa miwani au na wewe pia ni mmoja kati ya wale waliojiunga JF bila hodi🙁!
Watu wanakimbia uwanjani kwa dakika 48 wakifukuzana na mpira lakini mwisho wa siku cha muhimu ni kikapu kimetobolewa mara ngapi. Na hii ni kwa michezo yote...pamoja na soka! Kwenye soka wachezaji wako 22 uwanjani lakini kinachoshangiliwa ni mabao mangapi yametinga kwenye nyavu...!
Steph kaleta revolution katika mchezo wa basketball...au unabisha?
First huwezi kunielewa if you dont understand the history of NBA.Wanasema ukipenda Chongo utaona ni kengeza!
Top 10 huyu mediocre?
Steph kafanya evolution ya shooting kashinda NBA kwa ku rely solely on shooting.Povu!
Weka statistics kwenye categories nyingine.
Unasema tuu kafanya revolution lakini husemi ni ya aina gani?
As if basketball is only about chucking 3-pointers!!
[B]AbaMukulu[/B], here's a little story...Unasema tuu kafanya revolution lakini husemi ni ya aina gani?
I doubt some of your statement coz there is misleadingLet me take you back to the NBA 2015 championships! That year there wasn't a single Warriors player among the top 100 participating in the league and nobody, I repeat nobody gave the Warriors any chance of ever lifting the
Daah kaikosa free throw ya 2Hill kaikosesha Cavs ushindi hapa....[HASHTAG]#buzzed[/HASHTAG] [HASHTAG]#WhateveritTakes[/HASHTAG]
Kama kwako Steph Curry mediocre basi usishangae kuwa kwenye Top 10 all time ya wengine
Kanikosesha 2 million fala yuleCavs should have won
Hill angepata ile free throw
Daaah Hill kaleta majanga yote haya
Ahahaaaah...Wanasema ukipenda Chongo utaona ni kengeza!
Top 10 huyu mediocre?
Ahahaaaah...
Mtu mweusi katika ubora wake..!!!