One down, three to go!Tusubiri game 2.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kanikosesha 2 million fala yule
Jr smith sijui anavuta bangi ya wapiThat was a winnable game for the Cavaliers.
George Hill and J.R. messed it all up!
Basi na siye tunakushanga weweSizuiliwi kushangaa...
Ila jamani Lebron ka perform
He is a beast
Hart off to him.
Game ilikuwa nzuri worthy of a final
Cant wait game 2
Jelous down kwa lebronYaani angekuwepo Kyrie tuu stori ingekuwa nyingine kabisa
That was just one game boss, last year mbona Kyrie alikuwepo na hawakutoboa..Jelous down kwa lebron
Hapaswi kulaumiwa
He did great
Kyrie kama angekuwa yupo na ako fit wangetoboa hii
4 all stars cant have an excuse against the weakest lebron team since 2007.That was just one game boss, last year mbona Kyrie alikuwepo na hawakutoboa..
Usisahau Iggy nae hayupo for the Warriors, he guards Lebron pretty well most of the times. But Bron is beast,hands down!!
LBJ na Russ wako kwenye jahazi moja, utadhani hawana wasaidizi uwanjani! Mtu mmoja unatoka na mpira langoni kwako hadi langoni kwa mpinzani...kwani uwanjani uko peke yako? Mwisho wa siku unaongoza kwa pointi zaidi ya hamsini huku timu yako imelala! I don't like it, I don't like it at all!Jelous down kwa lebron
Hapaswi kulaumiwa
He did great
Kyrie kama angekuwa yupo na ako fit wangetoboa hii
Hapana Russ is Selfish Lebron carry his teamLBJ na Russ wako kwenye jahazi moja, utadhani hawana wasaidizi. Mtu mmoja unatoka na mpira langoni kwako hadi langoni kwa mpinzani...kwani uwanjani uko peke yako? Mwisho wa siku unaongoza kwa pointi zaidi ya hamsini huku timu yako imelala! I don't like it, I don't like it at all!
They can turn on at any minute of the game and came out with the win... Hawa wachezaji wamecheza 4 straight full seasons (regular and post), wanacheza kwenye conference ngumu pia, hii tiresome ni lazima..4 all stars cant have an excuse against the weakest lebron team since 2007.
Warriora walicheza vibaya, lebron did well.
Hata ile game ya juzi na Rockets Warriors hawakuwa vyema nna was was na Warriors
Basi na siye tunakushanga wewe
Cavs got robbed. The Durant call was a bs! That overturn call has never been done in NBA history.That was a winnable game for the Cavaliers.
George Hill and J.R. messed it all up!
Cavs played frustrated in OT. Hata ningekuwa mimi ningekuwa hivyo. Bron hakuwa kwenye restricted area. Ref wa kwanza akaita ile ni charge, offensive foul. Then, ati ref mwingine akasema iwe reviewed. Kisha maamuzi yakawa ati ni block foul. Utafanya vipi review wakati Bron hakuwa kwenye restricted area? First time ever, such a an overturn call has been made in NBA history..
The game was wire to wire, angalia walichokifanya OT.. 17-7!! Cavs hawana chance yeyote hapo..
Lebron kacheza fainali 9 he is good, japo hawa all stars si lebron ila they should have done better.They can turn on at any minute of the game and came out with the win... Hawa wachezaji wamecheza 4 straight full seasons (regular and post), wanacheza kwenye conference ngumu pia, hii tiresome ni lazima..
The game was wire to wire, angalia walichokifanya OT.. 17-7!! Cavs hawana chance yeyote hapo..
LBJ na Russ wako kwenye jahazi moja, utadhani hawana wasaidizi uwanjani! Mtu mmoja unatoka na mpira langoni kwako hadi langoni kwa mpinzani...kwani uwanjani uko peke yako? Mwisho wa siku unaongoza kwa pointi zaidi ya hamsini huku timu yako imelala! I don't like it, I don't like it at all!
But actuallyCavs played frustrated in OT. Hata ningekuwa mimi ningekuwa hivyo. Bron hakuwa kwenye restricted area. Ref wa kwanza akaita ile ni charge, offensive foul. Then, ati ref mwingine akasema iwe reviewed. Kisha maamuzi yakawa ati ni block foul. Utafanya vipi review wakati Bron hakuwa kwenye restricted area? First time ever, such a an overturn call has been made in NBA history.
Them Vegas punks robbed Cavs a steal.