NBA 2017/2018 Season Special Thread

NBA 2017/2018 Season Special Thread

Who will emerge as NBA Champion in 2018?

  • Golden State Warriors

    Votes: 9 64.3%
  • Clevelands

    Votes: 2 14.3%
  • Oklahoma City Thunders

    Votes: 2 14.3%
  • Boston Celtic

    Votes: 0 0.0%
  • San Antonio Spurs

    Votes: 0 0.0%
  • Houston Rockets

    Votes: 1 7.1%

  • Total voters
    14
  • Poll closed .
Another Win for Golden State at the expense of the Clavs


b39d78edddb0e9866fe2e0cb059aec90.jpg
09c6698fb7171ec68d4d67864d269bca.jpg
b0f650e0884e3d725c046c230ff40d9d.jpg
 
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa BB (NBA) ni ule wakati mwingine wa Playoffs. Mwaka huu playoffs ni patashika nguo kuchanika. Ukiondoa mechi ya GSW na Minnesota ambayo ni rahisi kutabiri mshindi zilizobaki zote kuna uwezekano mkubwa wa mwenye home court advantage kuwa upset.
 
Tunakutana na Utah Jazz wale tunawamudu hatufiki nao game 7
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa BB (NBA) ni ule wakati mwingine wa Playoffs. Mwaka huu playoffs ni patashika nguo kuchanika. Ukiondoa mechi ya GSW na Minnesota ambayo ni rahisi kutabiri mshindi zilizobaki zote kuna uwezekano mkubwa wa mwenye home court advantage kuwa upset.

GSW vs. Spurs
Raptors vs. Wizards
76ers vs. Heat
Rip City vs. NOLA
Celtics vs. Bucks
Cavs vs. Pacers
OKC vs. Jazz
Rockets vs. Timberwolves

[HASHTAG]#LetsGoCavs[/HASHTAG]
 
Shukrani Mkuu kwa masahihisho.

GSW vs. Spurs
Raptors vs. Wizards
76ers vs. Heat
Rip City vs. NOLA
Celtics vs. Bucks
Cavs vs. Pacers
OKC vs. Jazz
Rockets vs. Timberwolves

[HASHTAG]#LetsGoCavs[/HASHTAG]
 
GSW vs. Spurs
Raptors vs. Wizards
76ers vs. Heat
Rip City vs. NOLA
Celtics vs. Bucks
Cavs vs. Pacers
OKC vs. Jazz
Rockets vs. Timberwolves

[HASHTAG]#LetsGoCavs[/HASHTAG]

Hiyo ndo schedule ya first round?

Ila msimu huu GSW wako vulnerable sana.
 
Wapo wengi tu subiri uone uzi huu utakavyopata uhai kwani playoffs are just around the corner.
Anhaaaa! Bas sawa kumbe vijana si wafu wa regular wanapenda play offs.

Timu yako imeenda playof lakin?
 
Back
Top Bottom