Raptors wameua
From East who would you bet on?
Having any second thoughts [B]Nzi[/B]?Of course Cavaliers. No team in the East can beat the Cavs when playoffs start.
No team can win the East over the Cavs.Having any second thoughts [B]Nzi[/B]?
Espn appHii ni app gani?
Hivi jaman jf hakuna wano penda NBA eeh?
Wapo wengi tu subiri uone uzi huu utakavyopata uhai kwani playoffs are just around the corner.
Wapo wengi tu subiri uone uzi huu utakavyopata uhai kwani playoffs are just around the corner.
Kwa wale wapenzi na mashabiki wa BB (NBA) ni ule wakati mwingine wa Playoffs. Mwaka huu playoffs ni patashika nguo kuchanika. Ukiondoa mechi ya GSW na Minnesota ambayo ni rahisi kutabiri mshindi zilizobaki zote kuna uwezekano mkubwa wa mwenye home court advantage kuwa upset.
GSW vs. Spurs
Raptors vs. Wizards
76ers vs. Heat
Rip City vs. NOLA
Celtics vs. Bucks
Cavs vs. Pacers
OKC vs. Jazz
Rockets vs. Timberwolves
[HASHTAG]#LetsGoCavs[/HASHTAG]
GSW vs. Spurs
Raptors vs. Wizards
76ers vs. Heat
Rip City vs. NOLA
Celtics vs. Bucks
Cavs vs. Pacers
OKC vs. Jazz
Rockets vs. Timberwolves
[HASHTAG]#LetsGoCavs[/HASHTAG]
Anhaaaa! Bas sawa kumbe vijana si wafu wa regular wanapenda play offs.Wapo wengi tu subiri uone uzi huu utakavyopata uhai kwani playoffs are just around the corner.
HahahaTunakutana na Utah Jazz wale tunawamudu hatufiki nao game 7
Ndiyo. Raundi ya kwanza inaanza tarehe 14, keshokutwa.Hiyo ndo schedule ya first round?
Ila msimu huu GSW wako vulnerable sana.