Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
For the first time naipa hii series advantage kwa Rockets if they ve won two, winning two at their home court should not be impossible
Aah naah! They will be bullied at rocketsMkuu GSWs can win anywhere.
Aah naah! They will be bullied at rockets
They had to win this.
Heshima kwa rockets kwa kweli.
Game ya leo ukiacha utaalam woote ilikuwa missmanage dakika za mwisho na KerrNimemsikiliza Reggie TNT, kaongelea issue ya Ball Movement. Game ya leo walicheza ISO Ball, 14 assists per game ni chini sana kwa GSWs.
So moja ya kitu Houston wamefanikiwa ni kuwasababisha GSWs wacheze mchezo sawa na wao, ambapo D inakuwa easy.
Game ya leo ukiacha utaalam woote ilikuwa missmanage dakika za mwisho na Kerr
Angekuwa ana call timeout at least a slow kasi ya majamaa.
Warriors should be worried, nadhani pia inabid McGee na West warudishwe kucheza sana maana KeVon ana zidiwa
Kerr alikuwa nazo ni ujinga wake tuTimeouts ziko limited, wanazi-reserve ili kwenye mida mibaya wazitumie.
Na kama game 5 Houston ataweza kupiga ile defense, GSWs watakuwa matatani.
Game hii sijaona energy ya Cavs ninayotaka kuona.
Quarter ya tatu wasipoongeza nguvu game inaisha.
Kwa muonekano wa nje ni kwamba King amechoka,ndio maana zile movement zake hazionekani.
Hii ni matokeo ya back to back hasa kwa age yake.
Pole sana, ni mchezo tu. Kwetu ambao tumeufuatilia huu mchezo kwa muda mrefu, tuna-enjoy hata pale timu zetu zinaposhindwa...that is called sportsmanship!Wameniharibia usingizi tu.
Pole sana, ni mchezo tu. Kwetu ambao tumeufuatilia huu mchezo kwa muda mrefu, tuna-enjoy hata pale timu zetu zinaposhindwa...that is called sportsmanship!
Don't ever count warriors off at any point.. Unakumbuka when we came back 3-1 against KD & Russ OKC?Wakifungwa game ijayo , hakuna game 7
Ttzo ni kuwa watashindaje hiyo game?
3-1 comeback uh? What about 3-1 choking?!Don't ever count warriors off at any point.. Unakumbuka when we came back 3-1 against KD & Russ OKC?
Leo moto utawaka.. Kama Klay atakuwa fit kucheza Rockets wana kazi nzito sana
AaahDon't ever count warriors off at any point.. Unakumbuka when we came back 3-1 against KD & Russ OKC?
Leo moto utawaka.. Kama Klay atakuwa fit kucheza Rockets wana kazi nzito sana