Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skip Bayless and co., a.k.a the hatersWho says?
Game over Blazers 117 - Lakers 126.
Pole mwana.
BLAZERS WIN! BLAZERS WIN!
You are leading the West in the meantime.
Hapana sijagoma ndugu yangu, Warriors hivi sasa wanapitia tanuru lakini ole wake atakayesimama mbele yake akitoka huko...si unajua chuma kikiptia tanuru kinakuwaje. Hakuna mwana DUBS hata moja anayesikitikia hali ya sasa ya timu. Wanajua siku ya siku vijana wa Golden State watakunjua hizo kucha zao na hapo kazi itakuwa ni kuraruararua tu. 😀!3 consecutive defeat
Mag3; amegoma kutupa updates
Hapana sijagoma ndugu yangu, Warriors hivi sasa wanapitia tanuru lakini ole wake atakayesimama mbele yake akitoka huko...si unajua chuma kikiptia tanuru kinakuwaje. Hakuna mwana DUBS hata moja anayesikitikia hali ya sasa ya timu. Wanajua siku ya siku vijana wa Golden State watakunjua hizo kucha zao na hapo kazi itakuwa ni kuraruararua tu. 😀!
Make it 4..Thunder just punished them.
Blazers hiyo si nafasi yao wanamshikia tu mtu kwa muda.Western Conference
BLAZERS [emoji102]View attachment 939984
Tuwe serious jamani, eti Blazers...kweli kuna shabiki wa Basketball anawapa nafasi hawa wadandiaji! Heri hata Sacramento Kings waliosajili vijana ambao wanaweza kuleta taabu huko mbele ya safari lakini Blazers? No, hapana.Blazers hiyo si nafasi yao wanamshikia tu mtu kwa muda.
Juzi juzi Memphis Grizillies walikua nafasi ya 2 leo wamedrop hadi ya 6. Hii ndo NBA wenye nafasi zao wanazitaka sasa. Safari bado ndefu sana.