NBA 2018/2019 is here...

Duh!

Naona huku kumepooza siku hizi.

I wonder why?

Could it be because who is going to win is a foregone conclusion or is it because it’s still kinda early into a long season?

Could be both, for all I know....
 
3 consecutive defeat
Mag3; amegoma kutupa updates
Hapana sijagoma ndugu yangu, Warriors hivi sasa wanapitia tanuru lakini ole wake atakayesimama mbele yake akitoka huko...si unajua chuma kikiptia tanuru kinakuwaje. Hakuna mwana DUBS hata moja anayesikitikia hali ya sasa ya timu. Wanajua siku ya siku vijana wa Golden State watakunjua hizo kucha zao na hapo kazi itakuwa ni kuraruararua tu. 😀!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Will the Clippers make it to the Playoffs? Never not in the West and so it's too early to make conclusions about the teams.
 
Blazers hiyo si nafasi yao wanamshikia tu mtu kwa muda.
Tuwe serious jamani, eti Blazers...kweli kuna shabiki wa Basketball anawapa nafasi hawa wadandiaji! Heri hata Sacramento Kings waliosajili vijana ambao wanaweza kuleta taabu huko mbele ya safari lakini Blazers? No, hapana.

Mwisho wa Desemba tutapata fursa nzuri sana ya kuanza kuzipanga timu zinazoweza kuleta changamoto...kwa sasa bado sana, makocha wako busy wanachambua mbivu na mbichi, kwa hiyo tusiwe na papara sana, tuvute subira.
 
Juzi juzi Memphis Grizillies walikua nafasi ya 2 leo wamedrop hadi ya 6. Hii ndo NBA wenye nafasi zao wanazitaka sasa. Safari bado ndefu sana.
 
Western Conference ni ngumu mno.
Juzi juzi Memphis Grizillies walikua nafasi ya 2 leo wamedrop hadi ya 6. Hii ndo NBA wenye nafasi zao wanazitaka sasa. Safari bado ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…