Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Siku hiyo ndio utajua hujuiUnaota wewe
Okc tutaisweep
Labda watutoe ki triple double hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unatafuta vita na Team CurryGSW ana chance kubwa, ila KD ndo Finals MVP material, siyo Curry.
Team klay tupo pamoja na team curryHapa unatafuta vita na Team Curry
Giannis amezungukwa na shooters wakutosha.Niko na Philadelphia, ila Milwaukee wanatisha kwa East.
Tatizo Klay huwa anapotea baadhi ya gem.
Hapa unatafuta vita na Team Curry
Na akiondoka mwaka huu basi dynasty imekufa kabisaNi ukweli, Curry ana finals 4, hajawahi kuonesha consistency kwenye Finals.
Na KD alivyokuja ndo kampoteza kabisa.
Daaah, msimu huu nimepoteza muda kuangalia Euroleague hadi nimesahau kuliangalia chama langu la Mccollumn na Lillard. Naona Lakers mambo si mambo hatutaziona mbwembe za Lance Wiki si nyingi.
Samahani sana nilikuwa likizo lakini harufu ya uvundo wa ripoti ya CAG imenizindua na kunitoa likizoni na sasa nitaungana na wapenzi wa basketball katika NBA playoffs zinazoanza karibuni. Tuko pamoja sana...Let the Games begin. Msimu huu tumeona matokeo mengi ya ajabu. Mpaka leo sielewi chama langu GSW imekuwaje ktk Regular season hatukuwa very dominant. Tumemaliza with a L, Uchovu? au ndo zile tactics za kusubiri Playoffs? Anyway for the first time after four years, final won't be between GSW vs CAVS
Let the Games begin. Msimu huu tumeona matokeo mengi ya ajabu. Mpaka leo sielewi chama langu GSW imekuwaje ktk Regular season hatukuwa very dominant. Tumemaliza with a L, Uchovu? au ndo zile tactics za kusubiri Playoffs? Anyway for the first time after four years, final won't be between GSW vs CAVS
Hivi toka season imeanza kuna aliyewahi kuwa na winning streak ya 15 games kweli.
Hatujui huyu atulieHapa unatafuta vita na Team Curry