NBA 2018/2019 is here...

NBA 2018/2019 is here...

Daaah, msimu huu nimepoteza muda kuangalia Euroleague hadi nimesahau kuliangalia chama langu la Mccollumn na Lillard. Naona Lakers mambo si mambo hatutaziona mbwembe za Lance Wiki si nyingi.
 
Magic Johnson ameachia kitu cha President Lakers.
 
Amazing losing streak by the Cavs, 10 games in a row, what a way to end the regular season.

1067371
 
Yan NBA timu wakiruhusu timu kushuka daraja nadhani kunatimu zingepotea katika ramani ya kikapu.
 
Let the Games begin. Msimu huu tumeona matokeo mengi ya ajabu. Mpaka leo sielewi chama langu GSW imekuwaje ktk Regular season hatukuwa very dominant. Tumemaliza with a L, Uchovu? au ndo zile tactics za kusubiri Playoffs? Anyway for the first time after four years, final won't be between GSW vs CAVS
Samahani sana nilikuwa likizo lakini harufu ya uvundo wa ripoti ya CAG imenizindua na kunitoa likizoni na sasa nitaungana na wapenzi wa basketball katika NBA playoffs zinazoanza karibuni. Tuko pamoja sana...
 
Let the Games begin. Msimu huu tumeona matokeo mengi ya ajabu. Mpaka leo sielewi chama langu GSW imekuwaje ktk Regular season hatukuwa very dominant. Tumemaliza with a L, Uchovu? au ndo zile tactics za kusubiri Playoffs? Anyway for the first time after four years, final won't be between GSW vs CAVS

Hivi toka season imeanza kuna aliyewahi kuwa na winning streak ya 15 games kweli.
 
Back
Top Bottom