Hamna wako nyumbani
mmh! LeBron is a very competitive and professional guy. Ameenda kucompete but mafanikio ya timu yake yataanza onekana mwakani zaidi.Naona alichagua timu atakayo staafu nayo na si ya mafanikio.
Antetokoumpo and Anthony Davis one of the best players in mediocre teamsIt ain't gonna happen.
Naona alichagua timu atakayo staafu nayo na si ya mafanikio.
Tatizo yule dogo Fultz hajiamini kama mwenzake Ben Simmons
Hana cha kuprove tena, mpaka hapo alipofika ana rings 3, zinamtosha sana.
Maana hawezi kufikia za MJ, kwa hiyo amebaki anainjoy game tu, angetaka rings angeenda Rockets.
Antetokoumpo and Anthony Davis one of the best players in mediocre teams
Hamna kitu hapo, hawezi pata nafasi kwa namna uchezaji wa NBA ulivyo sasa hivi. Pace, strength, quick eye sight and 3-pointers define the outcome of games. This guy is fucking slow, very lazy and heavy. He can't play in the play in the NBA, not fit even in the elite Euroleague teams.Nilisikia Thabiti angepata timu msimu huu ilikuwa vipi tena kwani
Hahahaha kwahiyo Harden ana nafasi kubwa ya kupata rings kuliko LeBron?
Pengo la Ariza linaonekana, yule Carmelo ameisha. GSW wako serious sana na rings. Wanazitaka kweli kweli.I mean it could have probably been a best call if they teamed up, kwa sasa hivi Rockets wamejipunguzia points kidogo kwenye D, sina uhakika kama wataweza kumpelekesha GSW kama walivyofanya last season.
Nina wasiwasi na pengo la Trevor Ariza kwenye D ingawa bado watu wapo, lakini GSW kumwongeza DeMarcus noma sana kama ikiclick.
Embiid na Ben Simmons wanaibeba sana 76er, Fultz alitakiwa kuwa mchezaji wa Boston, meneja wa Boston akaona huyu dogo bado akambadilisha na Jayson Tatum.Hahahaa umechekesha sana, yule dogo hasa Fultz huwa nikiangalia uchezaji wake nabaki nacheka tu. Sijui huwa anaogopa nini hasa?
PESA YA BURE
OKC Thunder vs SAC Kings
2 way 1 odds 1.18
DEN Nuggets vs GS Warriors
+8.5 Handicap DEN Nuggets
odds 1.47
Jumla Odds 1.74
Hatujui GS Warriors ata react vipi ni vyema hata kucheza +4.5 Handicap ila handicap ya +8.5 inapendeza zaidiNuggets anawin hiyo game. Ata bila hizo Handicap
Hatujui GS Warriors ata react vipi ni vyema hata kucheza +4.5 Handicap ila handicap ya +8.5 inapendeza zaidi