NBA 2018/2019 is here...

NBA 2018/2019 is here...

Naona alichagua timu atakayo staafu nayo na si ya mafanikio.
mmh! LeBron is a very competitive and professional guy. Ameenda kucompete but mafanikio ya timu yake yataanza onekana mwakani zaidi.
 
Naona alichagua timu atakayo staafu nayo na si ya mafanikio.

Hana cha kuprove tena, mpaka hapo alipofika ana rings 3, zinamtosha sana.

Maana hawezi kufikia za MJ, kwa hiyo amebaki anainjoy game tu, angetaka rings angeenda Rockets.
 
Hahahaa umechekesha sana, yule dogo hasa Fultz huwa nikiangalia uchezaji wake nabaki nacheka tu. Sijui huwa anaogopa nini hasa?
Tatizo yule dogo Fultz hajiamini kama mwenzake Ben Simmons
 
Nilisikia Thabiti angepata timu msimu huu ilikuwa vipi tena kwani
 
Hahahaha kwahiyo Harden ana nafasi kubwa ya kupata rings kuliko LeBron?
Hana cha kuprove tena, mpaka hapo alipofika ana rings 3, zinamtosha sana.

Maana hawezi kufikia za MJ, kwa hiyo amebaki anainjoy game tu, angetaka rings angeenda Rockets.
 
Antetokoumpo and Anthony Davis one of the best players in mediocre teams

Draft processes ndo zinasababisha hivyo, timu za mwisho ndo zinapata Top Draftees ili na zenyewe ziweze kupambana.

Kama unakumbuka Sixers wamekuwa wachovu kwa kipindi kirefu, through drafts wameanza kuonekana.

GSWs most of their talents ni through drafts, watu kama Klay, Curry na Green.

So ni system ya draft inasababisha hayo.
 
Nilisikia Thabiti angepata timu msimu huu ilikuwa vipi tena kwani
Hamna kitu hapo, hawezi pata nafasi kwa namna uchezaji wa NBA ulivyo sasa hivi. Pace, strength, quick eye sight and 3-pointers define the outcome of games. This guy is fucking slow, very lazy and heavy. He can't play in the play in the NBA, not fit even in the elite Euroleague teams.
 
Hahahaha kwahiyo Harden ana nafasi kubwa ya kupata rings kuliko LeBron?

I mean it could have probably been a best call if they teamed up, kwa sasa hivi Rockets wamejipunguzia points kidogo kwenye D, sina uhakika kama wataweza kumpelekesha GSW kama walivyofanya last season.

Nina wasiwasi na pengo la Trevor Ariza kwenye D ingawa bado watu wapo, lakini GSW kumwongeza DeMarcus noma sana kama ikiclick.
 
Pengo la Ariza linaonekana, yule Carmelo ameisha. GSW wako serious sana na rings. Wanazitaka kweli kweli.
 
Hahahaa umechekesha sana, yule dogo hasa Fultz huwa nikiangalia uchezaji wake nabaki nacheka tu. Sijui huwa anaogopa nini hasa?
Embiid na Ben Simmons wanaibeba sana 76er, Fultz alitakiwa kuwa mchezaji wa Boston, meneja wa Boston akaona huyu dogo bado akambadilisha na Jayson Tatum.
 
PESA YA BURE
OKC Thunder vs SAC Kings
2 way 1 odds 1.18

DEN Nuggets vs GS Warriors
+8.5 Handicap DEN Nuggets
odds 1.47

Jumla Odds 1.74
 
Nuggets anawin hiyo game. Ata bila hizo Handicap, ama kama kuna hofu zaidi mpe Over Nuggets.
PESA YA BURE
OKC Thunder vs SAC Kings
2 way 1 odds 1.18

DEN Nuggets vs GS Warriors
+8.5 Handicap DEN Nuggets
odds 1.47

Jumla Odds 1.74
 
OKC Thnlunder wanazingua hawa watu uzembe wa namna hii uliwacost Playoffs msimu ulioisha. Tatizo ni waga ni Westbrok, sijui huyu jamaa anaweza team up na nani. Ndio maana wachezaji wakitokaga Oklahoma wanaendaga kuwa bora zaidi kwingineko. Refer: James Harden, Kevin Durant na Victor Oladipo.
 
OKC and Cavs wamepoteza mchezo wa tatu mfululizo, huku GSW wakionja kipigo kutoka kwa Nuggets. Rockets in the loosing mode against the Clippers

1540189113396.png
 
Back
Top Bottom