Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Boston mtapata shida sana kwa Toronto
Vipi Giannis Antentokoumpo, uyu dogo nae yuko moto kwelikweli msimu huu. Kawhi anatunyima sana usingizi Boston yani baada ya LeBron kuondoka nilijua kazi imeisha ila hiki 'chuma' walichokileta Toronto mhhh!!