Vipi Giannis Antentokoumpo, uyu dogo nae yuko moto kwelikweli msimu huu. Kawhi anatunyima sana usingizi Boston yani baada ya LeBron kuondoka nilijua kazi imeisha ila hiki 'chuma' walichokileta Toronto mhhh!!
+6.5 Minessota Timberwolves, odds 1.41Boston mtapata shida sana kwa Toronto
Nafikiri tutakutana nao Eastern Conference Finals, Philadelphia si wakutuumiza kichwa kwa sasa.Boston mtapata shida sana kwa Toronto
Mkuu link ya hiyo article maana timu nyingi hazi defense kabisa
Asante sana mkuu, timu inayocheza defense naona ni Boston & Indiana + Nuggets tu, wengine wote ni buckets tu.
Huu mchezo wa buckets si mtamu kabisa, mwendo ni defense bwana!., but in regular season its ok to play so, but in the playoffs defense determines the winner, sahivi acha watupie tu, ila Denver anajua madhara ya huu mchezo wa buckets, sahivi wako makini na wamekua hawataki masihara kabisaa. Ya mwaka jana kukosa playoffs yaliwauma sana wakati mediocre teams like Wizards & Milwaukee kule Eastern Conference wanacheza utumbo na wanacheza playoffs.
Huu mchezo wa buckets si mtamu kabisa, mwendo ni defense bwana!., but in regular season its ok to play so, but in the playoffs defense determines the winner, sahivi acha watupie tu, ila Denver anajua madhara ya huu mchezo wa buckets, sahivi wako makini na wamekua hawataki masihara kabisaa. Ya mwaka jana kukosa playoffs yaliwauma sana wakati mediocre teams like Wizards & Milwaukee kule Eastern Conference wanacheza utumbo na wanacheza playoffs.
Dogo yupo vizuri sana ila kwa performance za AD na Kawhi ni kama wanafanya asishine maana so far wanacarry team zao. Raptors huu msimu watasumbua sana East aiseeVipi Giannis Antentokoumpo, uyu dogo nae yuko moto kwelikweli msimu huu. Kawhi anatunyima sana usingizi Boston yani baada ya LeBron kuondoka nilijua kazi imeisha ila hiki 'chuma' walichokileta Toronto mhhh!!
Kawhi is good, I like that guy. Unaona jinsi anavyo dribble mpira, crossing the ball through his legs with style. Raptors have done the best deal in free agency. Nafikiri watampa maximum contract msimu ujao.Dogo yupo vizuri sana ila kwa performance za AD na Kawhi ni kama wanafanya asishine maana so far wanacarry team zao. Raptors huu msimu watasumbua sana East aisee
Well said mkuu, Kawhi is in his best form msimu huu.Kawhi is good, I like that guy. Unaona jinsi anavyo dribble mpira, crossing the ball through his legs with style. Raptors have done the best deal in free agency. Nafikiri watampa maximum contract msimu ujao.
Ni kweli ila kwa timu kama Warriors, inatakiwa juhudi ya ziada na ufundi kuifunga. Leo Nets kapiga tatu tatu 20 lakini hawakuweza kufua dafu mbele ya Warriors ambao waliambulia tatu tatu 11 tu. Mwisho wa mchezo Warriors 120, Net 114!Stephen Curry amebadili platform ya NBA kwa kiasi kikubwa, 3 points shooting imekuwa kama ndo silaha kuu ya ushindi.
GSW ni next level, ila Boston au Raptors kidogo wanaweza wapa kash-kash, Washington are worthless an rotten. Tatizo Eastern Conference si ngumu kabisa ushindani hakuna. Nitasikitika kuona hawa wajinga wakifuzu kucheza playoffs. Nitafurahi Charlotte Hornets wakikaza waende kucheza playoffs, Washington watulie kwanza hatutaki masihara kwenye NBA.Ni kweli ila kwa timu kama Warriors, inatakiwa juhudi ya ziada na ufundi kuifunga. Leo Nets kapiga tatu tatu 20 lakini hawakuweza kufua dafu mbele ya Warriors ambao waliambulia tatu tatu 11 tu. Mwisho wa mchezo Warriors 120, Net 114!
Warriors wako serious mno na championship. Kitu wanachofanya sasa hivi ni kuwa, wakiona game in probability ya kupoteza wanaplay buckets. Hawataki kurudia ya Denver Nuggets.Wanachofanya Warriors leo ni kufuru. Wamemaliza quarter ya tatu wakiwa na points 125! Hivi sasa wako quarter ya mwisho na toka mapumziko wamewapumzisha starters wote kwani walikuwa mbele kwa point zaidi ya arobaini.Tau tatu wameshatungua 23 na Klay Thompson peke yake katungua 14 na kuvunja rekodi ya Steph Curry! Sijui leo wangefunga ngapi kama wachezaji wangebaki wale wale! Ni hatari tupu!