NBA 2018/2019 is here...

NBA 2018/2019 is here...

Lakers seeking First win, GSW back in winning ways


1540271909543.png
 
Spurs overcome Lakers with 143-142, the King has a third consecutive loss. Surely they fought hard today and a bright future is in horizon for the Lakers
 
Pelicans and Nuggets are on Fire this season. Nguvu ya Soda??

1540357811892.png
 
Nuggets wamepania sana msimu huu, Pelicans nguvu ya soda but they can make it to the playoffs


I hope they can last along the tight 82 game schedule. Otherwise, Wakubwa wana strategy nzuri sana ya kujipumzisha wakisubiri Playoffs
 
wakuu naona mko vzr kwny aya madude,mngekuwa mnatupa na jamvi,mungu angewabariki xna.
 
Post game analysis za Denver vs GSWs, kuna mahali niliona DRaymond Green akizungumzia jinsi ambavyo hawajaweka emphasis kwenye Defense, na then kuna article ambayo inazungumzia ligi nzima msimu huu D siyo issue sana, isipokuwa Denver ndo mpaka sasa ni namba 1 kwenye defense.
 
Halftime...Wizards 71, Warriors 80! Tukubali tusikubali, Steph Curry ni habari nyingine kabisa. Ni mapumziko na tayari ana pointi 30+

Update: End of 3rd...Warriors 115, Wizards 97!
 
Team Golden State. A third consecutive title? Or the Lakers with King in town will dethrone them? I wonder whether Team cavaliers @ JF will remain intact or is disbanded to follow King James. Let the games begin
Mzee you're dreaming....Lakers kwa game zile though wanacheza vizuri hawawezi kuwa dethrone GSW.
 
Post game analysis za Denver vs GSWs, kuna mahali niliona DRaymond Green akizungumzia jinsi ambavyo hawajaweka emphasis kwenye Defense, na then kuna article ambayo inazungumzia ligi nzima msimu huu D siyo issue sana, isipokuwa Denver ndo mpaka sasa ni namba 1 kwenye defense.
Mkuu link ya hiyo article maana timu nyingi hazi defense kabisa
 
Mzee you're dreaming....Lakers kwa game zile though wanacheza vizuri hawawezi kuwa dethrone GSW.
Warriors habari nyingine. End of match ...Warriors 144, Wizards 122! Steph Curry kapata point 51 katika quarter 3 tu!
 
Golden State Warriors guard Stephen Curry scored 51 points and is now fifth on the NBA's all-time 3-pointers list after knocking down 11 treys in a 144-122 win over the Washington Wizards on Wednesday night.

LeBron James gets 1st win as a Laker in romp over Suns, with a 131-113 romp over the Phoenix Suns

Elsewhere in Cav-land, Life without LeBron James has been harder so far than the Cleveland Cavaliers hoped. Cleveland fell to 0-4 after a 102-86 loss to Brooklyn on Wednesday night. D'Angelo Russell scored 18 points, Joe Harris added 16 and the Nets outscored the Cavaliers 38-17 in the third quarter to pull away.

Utah downed Rockets as MVP James Harden gets injured.



1540447005159.png
 
Back
Top Bottom