Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
- Thread starter
-
- #81
hizi dakika 2 inabidi wale ma3 shooter wafanye mambo otherwise kobe anag'ara tena leo...
wapemba wanajua kikapu?
Kweli kabisa...
Mungu hatapenda.....Mazee ntakuongeza ktk ignore list yangu..olololol
Leo meli imepiga mwamba.mr bryant 16 sec left ila hili jamaa huwa ndio time zake hizi....
afadhali safi sana
kwanini?i hate kobe
kwanini?