Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
nje ya uwanja au ndani ya uwanja?ana arrritude na personality mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nje ya uwanja au ndani ya uwanja?ana arrritude na personality mbaya
nje ya uwanja au ndani ya uwanja?
Orlando wins 108 - 104!
kalalae uamke na akili mpyahaijalishi....
1st Quarter Orlando wako juu 24 - 20
True dat..49 - 37 in favor of Magic.Mazee, LAL in bad shape today..
Mazee, LAL in bad shape today..
Ila hawa Orlando mimi siwaamini sana wanaweza kuwa wanalead hivi jamaa wakatoka nyuma wakawapiga bao lol.
True dat..49 - 37 in favor of Magic.
Lakers big men in foul trouble
Ni kweli foul trouble ina wa-cost Lakers, naona LAL wako nervous kichizi na Howard sasa anaanza kupata easy baskets kwa jamaa kuogopa ku-tackle the Superman.
Q3 imeisha Lakers wako juu 67 - 63.
Niliwaambia hawa madogo siwaamini wakilead lol!!