NBA Finals..L.A.Lakers Versus Orlando Magic.

Magic wamejikomboa 76 - 75...kijana M Pietrus ni mkali!
We still have a ball game.

Nnayo mashaka kama Magic wanaweza kutuliza kitenesi wakati inapo-matter..walishindwa kufanya hivo kwenye G2. Sijui lakini tusubiri tuone.
 
Nnayo mashaka kama Magic wanaweza kutuliza kitenesi wakati inapo-matter..walishindwa kufanya hivo kwenye G2. Sijui lakini tusubiri tuone.

Nakubaliana nawe kabisa.Hapa ndipo unajua kua experience
muhimu...Playing under pressure.
 
Howard to the Free throw line 11.1 secs to go.
 
amekosa zote..10.4 secs LA ball... 84 - 87 Orlando!!!!
 
Fisher kapiga three!!!!...Game tied at 87...duh!!!!
4.6 secs to go Orlando ball.
 
hapa wataenda overtime maana kweli its raining threes
 
Lakers wamechukua hii kitu 96 - 91.... 21 secs to go
 
3.4 secs to go Lakers 98 - 91...Gasol to the FT line
 
Nadhani kwa Magic series ndio imeishia hapa..wajaribu mwakani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…