NBA Finals..L.A.Lakers Versus Orlando Magic.

Naona jamaa wana mjoke Kobe kwa kumchukua jamaa aliyevaa replica yake aruke kamba wakati haipo ...jamaa wajinga sana hawa..lol
 
Things are tough now for Magic..11 pts lead to LAL 2:10 to go to halftime
 
Championship is mostly likely now for Lakers.

Kinachowasaidia LAL ni kuwa karibu kila mchezaji ana step-up game yake when it matters. From Gasol, Kobe, Fisher, Ariza, Odom, Walton na hata sometimes Bynum naye. Magic are just not there kuwa timu inayostahili kuitwa bingwa. Haina cutting edge na hawapo clinical kabisa. Wapo wapo tu, na hii series imewafunua macho kujua kiwango chao halisi.
 
I wish it was the Cavaliers...they would have matched up good with the Lakers
 
Mazee unajua udhaifu wa Cavs ulificha udhaifu wa Magic, watu wakaanza hata kuwapa matumaini ya ku-match up na LAL. Lakini series ilipoanza tu wameonesha bado hawana ukomavu na hawana attitude ya u-champ.
 
Odom anapiga 3 double hapa..duh..mambo si mambo kwa vijana wa Magic
 
Mazee unajua udhaifu wa Cavs ulificha udhaifu wa Magic, watu wakaanza hata kuwapa matumaini ya ku-match up na LAL. Lakini series ilipoanza tu wameonesha bado hawana ukomavu na hawana attitude ya u-champ.

Unajua hapa ni match ups tu...I really think the Cavs were a better match up for the Lakers...
 
Hawa walima machungwa bana!! wakati wanaanza walikuwa na sijui lead ya 9 points Lakers walivyorudi mpaka within 3 points nikaacha kufuatilia.
 
Gasol na Kobe show..lol. Huyu sijuk Reddick sijui nani anashindwa hata ku-dribble..aaaarggh..hivi walifikaje finali hawa jamaa?
 
Hivi mchezaji kama Nelson anawezaje kupata airtime ..huyu Alston ingawa sio wa kiwango cha hivyo nadhani yupo ahead of this dude..
 
Kwenye basketball kuna playing time...airtime ni kwenye mambo ya broadcasting..

Anyways...basketball ni finito sasa hivi....wengi wetu tutaboreka hadi mwanzoni mwa Septemba NFL itakapoanza....Go Patriots...Go Brady
 
Q4 5:50, LAL still up by 16, they only need to run the clock and convert half of their shots into baskets to win the championship..
 
Hawa walima machungwa bana!! wakati wanaanza walikuwa na sijui lead ya 9 points Lakers walivyorudi mpaka within 3 points nikaacha kufuatilia.

Ndo hapo mazee, mtu yupo 9 pts up halafu analazimisha ku-take tough shots ambazo hazi-fall in kuwa baskets. Hapo ndipo unapoweza kutofautisha attitude ya champion na mshiriki wa fainali.
 
Back
Top Bottom