Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
All star inazidi kuwa ya kiduanzi kweli, ila mc clung kanifurahisha katika dunk contestAfadhali all stars imeisha. Sasa turudi kusubiri nani ataingia playoff. Je lakers atatoboa au ndo kusindikiza sherehe ukumbuni na kadi ya mwaliko hana?
Pia lakers sidhani kama watatoboa hata play offs wako inconsistentAfadhali all stars imeisha. Sasa turudi kusubiri nani ataingia playoff. Je lakers atatoboa au ndo kusindikiza sherehe ukumbuni na kadi ya mwaliko hana?
Sure kabisaAll stars haina kitu siku hizi. Bora uangali mechi za college au spainish cup.
Dunk contest sema nayo inazingua sana siku hizi. McClung kaficha uozo wa dunk contest ilivyo siku hizi. Bila hivyo ingekua ni ya hovyo sana
Hatoboi huyoAfadhali all stars imeisha. Sasa turudi kusubiri nani ataingia playoff. Je lakers atatoboa au ndo kusindikiza sherehe ukumbuni na kadi ya mwaliko hana?
Bado sijaonaLa Lakers kabaki na 24 games. Anahitaji kushinda 16 kujihakikishia nafasi ya playoff. Katika hizo 24 games, kuna game 7 za back to back. Ila hii acquisition ya Hachimura, Russel, Mo Bamba na yule jamaa wa wolves na kama Davis akiwa fit. Nina uhakika wanaweza kutoboa vizuri tu. Juu yao wapo timberwolves, warriors, jazz, thunder, blazers. Katika hao kuna watatu lakers anaweza kuwaacha vizuri tu.
Labda msimu ujao.Laker amelegea sana msimu huu
Lakers hatarii sana wanaweza enda play in then play offs ,sasq hivi siwadharau kabisaUnaona kasi waliyorudi nayo baada ya all stars lakini?
The goat himself