NBA: Let's Dribble

NBA: Let's Dribble

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Karibuni NBA fans, Let us share the joy and passion of this game.

56d1e85ded41594ba3b18d0266a84436.jpg
 
Afadhali all stars imeisha. Sasa turudi kusubiri nani ataingia playoff. Je lakers atatoboa au ndo kusindikiza sherehe ukumbuni na kadi ya mwaliko hana?
All star inazidi kuwa ya kiduanzi kweli, ila mc clung kanifurahisha katika dunk contest
 
Afadhali all stars imeisha. Sasa turudi kusubiri nani ataingia playoff. Je lakers atatoboa au ndo kusindikiza sherehe ukumbuni na kadi ya mwaliko hana?
Pia lakers sidhani kama watatoboa hata play offs wako inconsistent
 
All stars haina kitu siku hizi. Bora uangali mechi za college au spainish cup.

Dunk contest sema nayo inazingua sana siku hizi. McClung kaficha uozo wa dunk contest ilivyo siku hizi. Bila hivyo ingekua ni ya hovyo sana
 
Sure kabisa
 
La Lakers kabaki na 24 games. Anahitaji kushinda 16 kujihakikishia nafasi ya playoff. Katika hizo 24 games, kuna game 7 za back to back. Ila hii acquisition ya Hachimura, Russel, Mo Bamba na yule jamaa wa wolves na kama Davis akiwa fit. Nina uhakika wanaweza kutoboa vizuri tu. Juu yao wapo timberwolves, warriors, jazz, thunder, blazers. Katika hao kuna watatu lakers anaweza kuwaacha vizuri tu.
 
Bado sijaona
 
Back
Top Bottom