NBA Original Thread: Basketball & Fun

Aah Team Kevin Durant n James Harden midevu wapo vizuri Sana tatizo huwaga majeruhi
Hao Dub Nation sidhani Kama watafika ata finals[emoji23]
Watch out mzee dub nation wame mature sana na young players wao

Hii misimu miwili ijayo watavuna pa kubwa trust me

Hao masupert team yamejaa mavetersn majeruhi nje nje
 
Alafu wabongo tuna poor shot accuracy..yani wana rusha rusha tu mipira..tunategemea luck.
 
Simuungi mkono ni mpuuzi huyo,. Yaani huko kwenye luninga za vipindi mbali mbali vya michezo wanavyomzodoa na kumshangaa na kumshambulia kwa uamuzi wake ni balaa. Juzi kadai yeye hapingi chanjo ila ni msemaji wa voice less people wanaopinga chanjo. Inadaiwa akiamua kutochanja anaweza kupoteza $200 millions lakini Durant kasema hiyo issue ya Kyrie itakuwa solved very soon. Tusubiri.


@BAK vp we unaonaje ...irving yuko sahihi au ni kosa anafanya kugomea chanjo...
 
Safi mkuu
 
Time out zinakuwa sita je ni kwa kila timu au?
 
Mmhh sawa maana me nimeanza kufatalia basket kwa kubet saa naonaga option ya time out over 6 na under 6
Mkuu nimefatilia hili na ni kweli nimeona kumbe kuna ukomo wa "Time outs".

Aseh hili suala nilikuwa sijaligundua kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…