Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
- Thread starter
- #21
@Antetokounmpo ulianzAJE kusapot celtics..nipe info historia kidogo.Mchezo wa Basketball unachezwa ndani ya vipnd 4...vnaenda kwa majna ya quarter na kila quarter ina dakika 12
Basketball inachezwa na wachezaji wa 5 kwa kila upande.
Inaruhusiwa kubadil wachezaji wote wa 5 .
Kocha anaruhusiwa kuomba mchezo usimame ili aongee na wachezaji wake (tunaita Time Out)