NBA Original Thread: Basketball & Fun

NBA Original Thread: Basketball & Fun

Mchezo wa Basketball unachezwa ndani ya vipnd 4...vnaenda kwa majna ya quarter na kila quarter ina dakika 12

Basketball inachezwa na wachezaji wa 5 kwa kila upande.

Inaruhusiwa kubadil wachezaji wote wa 5 .

Kocha anaruhusiwa kuomba mchezo usimame ili aongee na wachezaji wake (tunaita Time Out)
@Antetokounmpo ulianzAJE kusapot celtics..nipe info historia kidogo.
 
@Antetokounmpo ulianzAJE kusapot celtics..nipe info historia kidogo.
[emoji2][emoji2] asee mkuu mi nilianza sapoti Boston's mwaka 2008...walinivutia sana akna Paul pierce, Ray Allen Kelvin Gannett na rookie wetu Rajon rondo enzi hizo....asee ni hatar mazeee
 
[emoji2][emoji2] asee mkuu mi nilianza sapoti Boston's mwaka 2008...walinivutia sana akna Paul pierce, Ray Allen Kelvin Gannett na rookie wetu Rajon rondo enzi hizo....asee ni hatar mazeee
Waooh..yani tunafanaan story mkuu..duuuuh..ndio maaana nikakuuliza.

Hata mimi ni fan wa celtics

Rajondo, kendrick perkins..hatariiiiiiiii
 
Back
Top Bottom