Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 637
- 1,532
- Thread starter
-
- #101
Ziko sita tu mkuu...haha.. ni vizuri umegundua..leo ndio maana nikafungua uzi huu tujulishaneMkuu nimefatilia hili na ni kweli nimeona kumbe kuna ukomo wa "Time outs".
Aseh hili suala nilikuwa sijaligundua kabisa.
Kweli kabisa,, na hii dunda yetu kimtaa mtaa, walimu wanaita hata zaidi ya hapo[emoji3]Ziko sita tu mkuu...haha.. ni vizuri umegundua..leo ndio maana nikafungua uzi huu tujulishane
Hapana mkuu ni six time out na inatakiwa iitwe afta one minute"Time out" haina ukomo mkuu.
Mwalimu anaweza kuita mara nyingi apendeleavyo.
Ni huwa wanagawana 3 kwa 3 au yoyote tu anatumia?Ziko sita tu mkuu...haha.. ni vizuri umegundua..leo ndio maana nikafungua uzi huu tujulishane
Sahihi mkuu,, nilikuwa sijalifahamu hili.Hapana mkuu ni six time out na inatakiwa iitwe afta one minute
Pongezi kwao maafande.ABC Wamechukua
Kila timuNi huwa wanagawana 3 kwa 3 au yoyote tu anatumia?
Kila timu wana 6Ni huwa wanagawana 3 kwa 3 au yoyote tu anatumia?
So jumla 12?Kila timu wana 6
Ziko mbili, ukiwa na mpira kwenye half yenu inatakiwa utumie 8 second kuuvusha kwenda half ya timu pinzani....Then kuna 24 seconds timu moja hairuhusiw kukaa na mpira zaid ya 24 seconds bila kufanya attempt yeyote.Na ile sheria ya kukaa na mpira sekunde 6 ipoje?
YeahSo jumla 12?
Mchezo wa Basketball unachezwa ndani ya vipnd 4...vnaenda kwa majna ya quarter na kila quarter ina dakika 12
Basketball inachezwa na wachezaji wa 5 kwa kila upande.
Inaruhusiwa kubadil wachezaji wote wa 5 .
Kocha anaruhusiwa kuomba mchezo usimame ili aongee na wachezaji wake (tunaita Time Out)
Yeah FIBA ni dakika kumi na naona hata kweny mashndano mengi ya Africa ni 10 minutesHapo kwenye dakika kwa kila quarter inategemea na mashindano yenyewe. Kwa NBA ni dakika 12 ila kwa mashindano yanayo simamiwa na FIBA ni dakika 10 kwa kila quarter. Mfano ni mashindano ya Euroleague nakadhalika. CBA nao naona wanatumia dakika 12
Yeah FIBA ni dakika kumi na naona hata kweny mashndano mengi ya Africa ni 10 minutes
Hafu mbona USA sionag mastaa wao wakicheza kama lebron, durant kwann wanachezaga mastaa wengine wa kawaida.?Hawa FiBA wajinga kweli..wamarekani wame adopt soccer na sheria zote za fifa. Lakini fiba wameadopt basketball kutoka marekani na wakabadilisha na sheria nyingi..hyo yote kuidumaza team usa ikiwa katika mashindano ya kidunia.
Olympic ya mwaka huu Team USA...Durrant alkuwepo na miaka ya nyuma akna kobe, lebron walkua wanaitwa....labda tu hukufatiliaHafu mbona USA sionag mastaa wao wakicheza kama lebron, durant kwann wanachezaga mastaa wengine wa kawaida.?