NBA Original Thread: Basketball & Fun

NBA Original Thread: Basketball & Fun

Mkuu nimefatilia hili na ni kweli nimeona kumbe kuna ukomo wa "Time outs".

Aseh hili suala nilikuwa sijaligundua kabisa.
Ziko sita tu mkuu...haha.. ni vizuri umegundua..leo ndio maana nikafungua uzi huu tujulishane
 
Na ile sheria ya kukaa na mpira sekunde 6 ipoje?
Ziko mbili, ukiwa na mpira kwenye half yenu inatakiwa utumie 8 second kuuvusha kwenda half ya timu pinzani....Then kuna 24 seconds timu moja hairuhusiw kukaa na mpira zaid ya 24 seconds bila kufanya attempt yeyote.
 
Hapo kwenye dakika kwa kila quarter inategemea na mashindano yenyewe. Kwa NBA ni dakika 12 ila kwa mashindano yanayo simamiwa na FIBA ni dakika 10 kwa kila quarter. Mfano ni mashindano ya Euroleague nakadhalika. CBA nao naona wanatumia dakika 12
Mchezo wa Basketball unachezwa ndani ya vipnd 4...vnaenda kwa majna ya quarter na kila quarter ina dakika 12

Basketball inachezwa na wachezaji wa 5 kwa kila upande.

Inaruhusiwa kubadil wachezaji wote wa 5 .

Kocha anaruhusiwa kuomba mchezo usimame ili aongee na wachezaji wake (tunaita Time Out)
 
Hapo kwenye dakika kwa kila quarter inategemea na mashindano yenyewe. Kwa NBA ni dakika 12 ila kwa mashindano yanayo simamiwa na FIBA ni dakika 10 kwa kila quarter. Mfano ni mashindano ya Euroleague nakadhalika. CBA nao naona wanatumia dakika 12
Yeah FIBA ni dakika kumi na naona hata kweny mashndano mengi ya Africa ni 10 minutes
 
Hawa FiBA wajinga kweli..wamarekani wame adopt soccer na sheria zote za fifa. Lakini fiba wameadopt basketball kutoka marekani na wakabadilisha na sheria nyingi..hyo yote kuidumaza team usa ikiwa katika mashindano ya kidunia.
 
Hafu mbona USA sionag mastaa wao wakicheza kama lebron, durant kwann wanachezaga mastaa wengine wa kawaida.?
 
Milwaukee Bucks ni timu underrated sana sasa natabiri privided hawa watu watakua healthy wanatetea ubingwa

Giannis Antetokounmpo
Khris Middleton

Jrue Holiday

Brook Lopez

Hawa Jamaa wana chemistry ya hatari
 
Back
Top Bottom