NBA Original Thread: Basketball & Fun

Kuna makosa ambayo yanarekodiwa (fouls) na kuna makosa ambayo hayarekodiwi (violations).

Makosa yanayorekodiwa ni
1. Kumshikilia mpinzani (holding)
2. Kumsukuma (pushing)
3. Kuingilia njia (blocking)
4. Kutumia lugha isiyofaa kwa maneno au ishara (technical)
5. Kufanya kosa lisilo la kimchezo (Unsportsmanlike)
6. Kufanya kosa kubwa ambalo halivumiliki (Disqualification) mfano kupigana ndani ya uwanja

N.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa FiBA wajinga kweli..wamarekani wame adopt soccer na sheria zote za fifa. Lakini fiba wameadopt basketball kutoka marekani na wakabadilisha na sheria nyingi..hyo yote kuidumaza team usa ikiwa katika mashindano ya kidunia.
Yes and vice versa... ila sio kwa lengo la kuidumaza Marekani ila kikapu na hizo sheria zilianzia hukohuko Marekani.

Game ilipoanza kuwa kibiashara zaidi wamarekani na hasa NBA na Other Pro League kule zikaanza ku adapt new rules ili game iwe entertaining zaidi.

FIBA wakaamua ku Sticky na sheria za mwanzo huku wakibadilisha taratibu taratibu. Mfano ni kama vile NBA Hawachezi Zone D Lkn FIBA wanacheza.

So ni mabadiliko ya kawaida sana na sio lengo kuifunga Marekani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nba ndio walio introduce basketball duniani..na walianza na 12min per quarte... lakin fiba walivyokuja wakabadilisha hizo rules ..sio tu 12min..hata ile rule ya kumlimit big man kukaa ndani ya D kwa muda mrefu...
VP fiba Sheria zao Kwa bigman kukaa ndani ya D zipoje?
 
Hawa milwakee bucks wapo vzuri Sana...nimeona game Yao na Brooklyn nets [emoji119]
 
Kibongobongo nawezaje kuangalia gem za basketball?
Unamaanisha Unataka kuangalia game za RBA DSM au za mbele NBA?...km za mbele NBA unacheki kwenye startimes au DStv channel za ESPN 1na ESPN2 ..na pia unaweza kuzistream kupitia app ya mobdro.....hapa game za bongo RBA wanacheza pale taifa au viwanja vya Don Bosco , kurasini n.k. sijui km kuna viingilio cjawahi kuzitizama
 
Mobdro siku hizi hakuna kitu

Imekaa kipuuzi
 
Ligi zinazochezwa dakika 12 ni NBA, CBA, ligi ya PHILIPPINES
Zipo nyingi mkuu.... FIBA wanaruhusu nchi kuamua kutokana na mahitaji yao with guideline kwamba wakiingia kwenye Fiba main competitions ni Dk 10 kila quarter. The same hata kwa officials you can use two or three ila sheria ni 3 kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anhaa kumbe maana sijaitumia muda mrefu sana
Imefuta channels zote haieleweki saivi

Naona wamwishtukia

Nilikuwaga nacheki zile game za finals Cavs vs GSW miimu yote waliocheza finals nastream usiku mnene Hadi asubuhi

Siku hizi hola
 
Imefuta channels zote haieleweki saivi

Naona wamwishtukia

Nilikuwaga nacheki zile game za finals Cavs vs GSW miimu yote waliocheza finals nastream usiku mnene Hadi asubuhi

Siku hizi hola
Helsgoal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…