Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Mkuu Samahani, inakuwaje mchezaj anapewa free throw 1 ila na mpira wanapewa waanzishe wao?Sio kwamba ilkua ngekewa tu last season?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Samahani, inakuwaje mchezaj anapewa free throw 1 ila na mpira wanapewa waanzishe wao?Sio kwamba ilkua ngekewa tu last season?
Yes and vice versa... ila sio kwa lengo la kuidumaza Marekani ila kikapu na hizo sheria zilianzia hukohuko Marekani.Hawa FiBA wajinga kweli..wamarekani wame adopt soccer na sheria zote za fifa. Lakini fiba wameadopt basketball kutoka marekani na wakabadilisha na sheria nyingi..hyo yote kuidumaza team usa ikiwa katika mashindano ya kidunia.
VP fiba Sheria zao Kwa bigman kukaa ndani ya D zipoje?Nba ndio walio introduce basketball duniani..na walianza na 12min per quarte... lakin fiba walivyokuja wakabadilisha hizo rules ..sio tu 12min..hata ile rule ya kumlimit big man kukaa ndani ya D kwa muda mrefu...
Unamaanisha Unataka kuangalia game za RBA DSM au za mbele NBA?...km za mbele NBA unacheki kwenye startimes au DStv channel za ESPN 1na ESPN2 ..na pia unaweza kuzistream kupitia app ya mobdro.....hapa game za bongo RBA wanacheza pale taifa au viwanja vya Don Bosco , kurasini n.k. sijui km kuna viingilio cjawahi kuzitizamaKibongobongo nawezaje kuangalia gem za basketball?
Wote tu FIBA na NBA mchezaji yeyote haruhusiwi kukaa ndani ya Key zaidi ya sekunde 3. Ila kwa Level kama ya NBA Jamaa wako smart ni aghlabu sana kupigiwa filimbi even ktk Fiba highest gamesVP fiba Sheria zao Kwa bigman kukaa ndani ya D zipoje?
Mobdro siku hizi hakuna kituUnamaanisha Unataka kuangalia game za RBA DSM au za mbele NBA?...km za mbele NBA unacheki kwenye startimes au DStv channel za ESPN 1na ESPN2 ..na pia unaweza kuzistream kupitia app ya mobdro.....hapa game za bongo RBA wanacheza pale taifa au viwanja vya Don Bosco , kurasini n.k. sijui km kuna viingilio cjawahi kuzitizama
Ligi zinazochezwa dakika 12 ni NBA, CBA, ligi ya PHILIPPINESYes... na hata kwenye world Championships or Olympic Games hao NBA Players wamo bado ni 10 mnts per quarter
Hata hapa Tanzania tunatumia dk 10 kwa quarter
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaa kumbe maana sijaitumia muda mrefu sanaMobdro siku hizi hakuna kitu
Imekaa kipuuzi
Zipo nyingi mkuu.... FIBA wanaruhusu nchi kuamua kutokana na mahitaji yao with guideline kwamba wakiingia kwenye Fiba main competitions ni Dk 10 kila quarter. The same hata kwa officials you can use two or three ila sheria ni 3 kwa sasaLigi zinazochezwa dakika 12 ni NBA, CBA, ligi ya PHILIPPINES
Hyo inakua ni technical foul...so timu b inafaidika kwa kupewa hyo free throw na kuanzisha mpira....Mkuu Samahani, inakuwaje mchezaj anapewa free throw 1 ila na mpira wanapewa waanzishe wao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Imefuta channels zote haieleweki saiviAnhaa kumbe maana sijaitumia muda mrefu sana
HelsgoalImefuta channels zote haieleweki saivi
Naona wamwishtukia
Nilikuwaga nacheki zile game za finals Cavs vs GSW miimu yote waliocheza finals nastream usiku mnene Hadi asubuhi
Siku hizi hola