NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

What side are you on again?...wait,you have none...lol!
Fujo tupu.
Sina side mkuu.., ila kama nilivosema hapo post ya kifungua thread, it is apparent what LAL is about to do. Literally..lol
 
Braza mbona unawatisha washabiki wa SUNS, hao Lakers wangekuwa wazuri kihivyo si wangekuwa washamaliza mambo, Kobe na Derick wakichoke tu ngoma inachukuliwa na SUNS.

Mkuu LAL they know how to play smartly. Nna uhakika kwa asilimia 90 series itakamilika leo.
 
hawa jamaa mbona wana vurugu.. huyu Artest kaamkia upande gani leo? Kwa vile mdogo wangu yuko Suns.. mimi inabidi nishabikie LA ili nimnyanyase!
 
HT 12 pts game to LAL, high scoring half so far.
 
hawa jamaa mbona wana vurugu.. huyu Artest kaamkia upande gani leo? Kwa vile mdogo wangu yuko Suns.. mimi inabidi nishabikie LA ili nimnyanyase!

Tatizo,hutafuti ushauri kabla ya kuchukua maamuzi.
Usiamshe tu watu usiku kisa depression.
 
Back
Top Bottom