Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
- Thread starter
-
- #641
Soon it will be 20 pts game..he he he..bado mapema....12pts si nyingi kwa timu yenye uwezo mkubwa wa 3-pointers kama PHX
Ilianza kuwa ngumu mapema mkuu, ulishindwa tu kui-detect .lolduh ngoma inaanza kuwa gumu sasa.
Mamba anatisha kaa njaa..Bring on BC..he he he..
Suns wanafurukuta na mbi zao za sakafuni hapa..
ha ha ha wanaanza kukupa presha sema ukweli mkuu lol