NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

duh jana umeme ulikatika nikashindwa kuona game!!!!im not surprised na result na game kwa jumla,kumbuka C's walikuwa blownout na CAVS na ORLANDO game 1-1 so i hope watajipanga, they need to steal at least 1 game which i believe they're capable to do.

Marekebisho: Kwenye series ya CAVS vs C's, ndiyo walianza kwa 1 - 1. Game 1, CAVS walishinda na then game 2, C's walishinda. Lakini kwenye series ya C's vs Magic, Magic walienda 0 - 3.

Pamoja na hayo, lolote linaweza kutokea, Jumapili siyo mbali tutaona nini kitafanyika. Nimewasikia Paul Pierce na Rajon Rondo kwenye postgame interview wanasema mkakati ni ku-steal game moja, so wanaichukulia game 2 more seriously ili waweza ku-win angalau game moja kati ya hizi games 2.

Kwa kifupi, Cs na LAL wamekamiana. Ron Artest kanunua tiketi za mashabiki ili waingie kushangilia na amelipa dola 9,000 kwa kila game kwa games mbili za mwanzo. Lengo ni kuhakikisha games zote mbili za nyumbani wanashinda. Black Mamba anataka ku-win ring ya 5, Artest anasema kwenye timu hiyo ni yeye pekee hana ring na alienda LAL kwa ajili ya ku-win championship.

The Big Three wa Cs wanataka kuacha legacy kabla jua halijazama na inawezekana season hii ikawa ya mwisho wakiwa pamoja. Tetesi za kumuuza Ray Allen zilishika kasi kubwa sana mwezi Feb, lakini kwa hali ilivyo future ya big three kuwa pamoja msimu ujao possibility ni ndogo sana, so wanahitaji ku-win trophy kwa mara ya mwisho wakiwa pamoja.

Kutokana na huo mchanganyiko, series hii inaweza kuwa ngumu sana na yenye ushindani mkubwa sana, yeyote atakayeteleza, ndo itakuwa imekula kwake!
 
Imani ya kuhamisha milima..Nway nimeshachukua ela ya Wenger bado natafuta 50 bucks nyingine, naona watu wa BC wengine wameingia mitini, ushabiki wa mdomoni tu imani moyoni hawana.

Kuna watu 2 sijawaona hapa, nao ni Ab na MwanaFA. Leo Ab hajatuwekea hata mapicha kuonyesha LAL walivyokuwa wanatesa kwenye uwanja wao wa nyumbani.
 
Marekebisho: Kwenye series ya CAVS vs C's, ndiyo walianza kwa 1 - 1. Game 1, CAVS walishinda na then game 2, C's walishinda. Lakini kwenye series ya C's vs Magic, Magic walienda 0 - 3.

soma kwa makini,ukishaelewa njoo unisahihishe.
nimesema series na CAVS na MAGIC C's walikuwa blownout game moja moja yaani vs CAVS walifungwa kwa nearly 30pts margin ndio maana ya blowout i think ilikuwa game 3, then vs MAGIC wakawa blowout game moja nafikiri sikumbuki ni game 4 au 5
 
Kuna watu 2 sijawaona hapa, nao ni Ab na MwanaFA. Leo Ab hajatuwekea hata mapicha kuonyesha LAL walivyokuwa wanatesa kwenye uwanja wao wa nyumbani.

Hao bana wanaonekana Celtix ikishinda tu..lol
 
I'm gonna go out on a limb and say Lakers in 4...yes I said it. A sweep....
 
Series record ya Phil Jackson anaposhinda Game 1 is so impressive, Lakers watashinda championship. Come on Black Mamba!
 
Babu mimi sasa hivi najiandaa kucheki kombe la dunia tu...hii series kwishnei unless utokee muujiza wa biblical proportions

haya mkuu,mi nausubiri huo muujiza,naamini utatokea.
 
waungwana mpo...........game 2 hioo
 
waungwana mpo...........game 2 hioo


Nipo Muungwana...naona leo Celtics wameanza vizuri bado naamini wanaweza kabisa kushinda ila tu inabidi wajitahidi kurebound zaidi, kupunguza turnovers na high percentage of 3 points.
 
Nipo Muungwana...naona leo Celtics wameanza vizuri bado naamini wanaweza kabisa kushinda ila tu wanabidi wajitahidi kurebound zaidi, kupunguza turnovers na high percentage of 3 points.

naona kobe is on rondo,fisher on ray allen lkn inakula kwao coz ray atamkimbiza sana huyu fisher
 
Abdulhalim ru watching...............
 
Celtics have come to play today...lakini bado mapema jamani.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…