duh jana umeme ulikatika nikashindwa kuona game!!!!im not surprised na result na game kwa jumla,kumbuka C's walikuwa blownout na CAVS na ORLANDO game 1-1 so i hope watajipanga, they need to steal at least 1 game which i believe they're capable to do.
Marekebisho: Kwenye series ya CAVS vs C's, ndiyo walianza kwa 1 - 1. Game 1, CAVS walishinda na then game 2, C's walishinda. Lakini kwenye series ya C's vs Magic, Magic walienda 0 - 3.
Pamoja na hayo, lolote linaweza kutokea, Jumapili siyo mbali tutaona nini kitafanyika. Nimewasikia Paul Pierce na Rajon Rondo kwenye postgame interview wanasema mkakati ni ku-steal game moja, so wanaichukulia game 2 more seriously ili waweza ku-win angalau game moja kati ya hizi games 2.
Kwa kifupi, Cs na LAL wamekamiana. Ron Artest kanunua tiketi za mashabiki ili waingie kushangilia na amelipa dola 9,000 kwa kila game kwa games mbili za mwanzo. Lengo ni kuhakikisha games zote mbili za nyumbani wanashinda. Black Mamba anataka ku-win ring ya 5, Artest anasema kwenye timu hiyo ni yeye pekee hana ring na alienda LAL kwa ajili ya ku-win championship.
The Big Three wa Cs wanataka kuacha legacy kabla jua halijazama na inawezekana season hii ikawa ya mwisho wakiwa pamoja. Tetesi za kumuuza Ray Allen zilishika kasi kubwa sana mwezi Feb, lakini kwa hali ilivyo future ya big three kuwa pamoja msimu ujao possibility ni ndogo sana, so wanahitaji ku-win trophy kwa mara ya mwisho wakiwa pamoja.
Kutokana na huo mchanganyiko, series hii inaweza kuwa ngumu sana na yenye ushindani mkubwa sana, yeyote atakayeteleza, ndo itakuwa imekula kwake!