........Nilikuwa sipendi kabisa mipira mie, ila siku hizi nimekuwa mpenzi kwa sababu ya shem wako hadi ratiba nimeshika.Anyway celtics naona leo neema ipo kwao.
LAL wakiendelea hivi hakyanani walahi naliwa ela na Wenger ..duh
LAL wakiendelea hivi hakyanani walahi naliwa ela na Wenger ..duh
NGABU dont say i didnt warn u.................
Mie nataka waendelee hivi tu maana kuna mtu nitamla mapesa mengi tu.
...........kama wifi yako hapa anawajua akina giggs,rooney hadi wake zao...........
LAL wakiendelea hivi hakyanani walahi naliwa ela na Wenger ..duh
Marefa nao waliharibu, kuna ile call last touch kutoka kwa KG wakarule kinyumenyume. Pale ndo ilikuwa turning point.C's ni noma hao,lakini LA ni timu nzuri sio kama MAGIC anything can happen.....
Mhhhh! Mbebabox...mpaka na wake anawajua?....hiyo kali! Ulimpa darasa nini? hahahahahahaha
Ah, sasa series ishakuwa KERO..
Marefa nao waliharibu, kuna ile call last touch kutoka kwa KG wakarule kinyumenyume. Pale ndo ilikuwa turning point.
leo kulikuwa na bad calls nyingi pande zote.ila mi nilikuwa naona za C's tu..LOL
Lol...watu washaanza visingizio....
Allen hawezi kurudia zile 3, hivyo LA watachukua tu. Zingatia pamoja na rekodi ya 8, 3's za Allen bado mwisho tofauti imekuwa 9pts tu.
..........World cup tena naisubiria kwa hamu..........kababy ndio kameanza kurusha rusha mateke kwa mbaliii. Pili pili nakula sana tu na candies kwa sana.Poa kama ni hivyo...basi usikose pia kwenye World Cup kuanzia June 11. Kababy vipi kameshaanza kurusha mateke? Na pilipili bado kama kazi au umepunguza kidogo?
LAL wakiendelea hivi hakyanani walahi naliwa ela na Wenger ..duh
LAL washaanza kuwa too confident, sio ile LAL ambayo inagrind na kuhustle na kuwin-ugly.
Ngoja nisepe hapa ishakuwa noma.