NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

NBA Playoffs 2009/2010: Where's Your Money At?

........Nilikuwa sipendi kabisa mipira mie, ila siku hizi nimekuwa mpenzi kwa sababu ya shem wako hadi ratiba nimeshika.Anyway celtics naona leo neema ipo kwao.

...........kama wifi yako hapa anawajua akina giggs,rooney hadi wake zao...........
 
...........kama wifi yako hapa anawajua akina giggs,rooney hadi wake zao...........

Mhhhh! Mbebabox...mpaka na wake anawajua?....hiyo kali! Ulimpa darasa nini? hahahahahahaha

LAL wakiendelea hivi hakyanani walahi naliwa ela na Wenger ..duh

halafu wameshinda game ambayo ilikuwa tight hadi 2mins to go ON THE ROAD......hio ni sign ya CHAMPIONSHIP TEAM......
 
C's ni noma hao,lakini LA ni timu nzuri sio kama MAGIC anything can happen.....
Marefa nao waliharibu, kuna ile call last touch kutoka kwa KG wakarule kinyumenyume. Pale ndo ilikuwa turning point.
 
LAL washaanza kuwa too confident, sio ile LAL ambayo inagrind na kuhustle na kuwin-ugly.

Ngoja nisepe hapa ishakuwa noma.
 
Ah, sasa series ishakuwa KERO..

LOL!...bwa mdogo aling'ang'ania sana Ijumaa nikamwambia haya...waliposhinda Ijumaa akanipigia simu usiku wa manane kutamba tu kwamba umetuona vitu vyetu?....basi miye nikawa sina la kusema ila kumpongeza tu. Sasa sijui baada ya game hii ya leo atasema nini.
 
Marefa nao waliharibu, kuna ile call last touch kutoka kwa KG wakarule kinyumenyume. Pale ndo ilikuwa turning point.

leo kulikuwa na bad calls nyingi pande zote.ila mi nilikuwa naona za C's tu..LOL
 
Allen hawezi kurudia zile 3, hivyo LA watachukua tu. Zingatia pamoja na rekodi ya 8, 3's za Allen bado mwisho tofauti imekuwa 9pts tu.
 
Allen hawezi kurudia zile 3, hivyo LA watachukua tu. Zingatia pamoja na rekodi ya 8, 3's za Allen bado mwisho tofauti imekuwa 9pts tu.

jipe moyo tu.....RAY ALLEN anakwambia ile ni routine tu,he is one of the best 3-shooters in nba history behind REGGIE MILLER i guess,kwa hio jiandae game 3 business as usual.
priority ya kwanza ya phil jackson ilikuwa kupunguza "activities za rondo" sasa gm 3 itakuwa kupunguza 3's za ray allen ndipo paul pierce atakapowamaliza......
 
Poa kama ni hivyo...basi usikose pia kwenye World Cup kuanzia June 11. Kababy vipi kameshaanza kurusha mateke? Na pilipili bado kama kazi au umepunguza kidogo?
..........World cup tena naisubiria kwa hamu..........kababy ndio kameanza kurusha rusha mateke kwa mbaliii. Pili pili nakula sana tu na candies kwa sana.
 
LAL washaanza kuwa too confident, sio ile LAL ambayo inagrind na kuhustle na kuwin-ugly.

Ngoja nisepe hapa ishakuwa noma.

Leo Ray Allen aliwaua LA,mwanzo walishindwa kabiasa kumkaba baadae waka-concentrate kumkaba wakamwacha Rondo akawa anatumbukiza kiulaini.Still mambo bado mapema
 
Back
Top Bottom